Ukraine imetoa waranti wa kukamatwa kwa Rais aliyeondolewa madarakani Viktor Yanukoviych ambaye anasakwa na polisi kwa kuhusika na mauaji ya umma wa watu wakati nchi hiyo ikikabiliwa na jukumu la dharura la kuunda serikali mpya na kumteua waziri mkuu kuingoza nchi hiyo kufuatia machafuko ya kisiasa yaliodumu kwa miezi kadhaa. Zaidi kuhusu hali ya Ukraine,tembelea ukurasa wetu wa mtandao.
Source: DW