Raisi kikwete umesikia ya wanamwibara

GOTILANGU

Senior Member
Aug 23, 2013
182
46
Mbunge wa Mwibara CCM aomba Raisi kuwafukuza kazi waziri mkuu na mheshimiwa Ghasia kwa kutokuwajibika ili kuokoa chama cha mapinduzi maana kukusanya fedha kwa kodi na kuzitafuna nikuwadhulumu Watanzania na masurufu kutafunwa ni kuzurumu Watanzania.
 
Back
Top Bottom