englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,209
MH.sana Raisi kikwete ni Raisi pekee aliye hudhuria mazishi ya baba wa Raisi mseveni hongera kwa kudumisha kawaida yako.
MH.sana Rahisi kikwete ni Raisi pekee aliye hudhuria mazishi ya baba wa Raisi mseveni hongera kwa kudumisha kawaida yako.
Alikuwa anahamu na safari sana, amefurahi sana huu msiba umempa sababu ya kutoka ikulu.
Miguu ilikua inamuwasha.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Aibu........ Angekuwa ndo rais wa marekani kila siku angekuwa anaenda kenya
Hiyo ameunga juu kwa juu akitokea Addis Ababa mkuuAlikuwa anahamu na safari sana, amefurahi sana huu msiba umempa sababu ya kutoka ikulu.
Miguu ilikua inamuwasha.
Aibu........ Angekuwa ndo rais wa marekani kila siku angekuwa anaenda kenya
Sio stress tu na mishipa kuwatoka.Naona mnavimba kwa hasira, nadhani mtakufa kwa stress mwaka huu.
MH.sana Raisi kikwete ni Raisi pekee aliye hudhuria mazishi ya baba wa Raisi mseveni hongera kwa kudumisha kawaida yako.
Hongera Raisi wetu watu watakufa midomo juu kwa umbeya la muhimu kazika kamaliza sasa endeleeni kuumia, kila afanyalo baya lipi bora kwenu hamuachi? watu tuache chuki za kisiasa bado hatujakomaa kisiasa tunaleata chuki za paka na panya tutaishia pabaya