Vinci
JF-Expert Member
- Jul 6, 2009
- 2,637
- 675
unataka kusema kama Libya wanavyomkumbuka Gadaffi?
Mnamsakama sana baba wa watu.... MTAMKUMBUKA!!!!!!!!!!!!
Mnamsakama sana baba wa watu.... MTAMKUMBUKA!!!!!!!!!!!!
Anaogopa kurudi upesi, anasubiri upepo mchafu wa matokeo ya form 4 upite. what a coward? shame!!!!!!!!!
MH.sana Raisi kikwete ni Raisi pekee aliye hudhuria mazishi ya baba wa Raisi mseveni hongera kwa kudumisha kawaida yako.