BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,789
- 288,015
Huwa hatumii ubongo wake kujaji mambo,anatumia makamasi!!
Avoid simple answers for difficult questions
Kwani anao huo ubongo? angekuwa nao asingekuwa kiongozi mbovu kiasi hiki
Huwa hatumii ubongo wake kujaji mambo,anatumia makamasi!!
Avoid simple answers for difficult questions
Inahitaji moyo sana kukaa na kumsikiliza hadi mwisho. Nchni za ajabu sana hizi hata Rais anakuwa corrupt?
WANA JF,
Nimefungulia BBC nikakuta JK akihojiwa kuhusu hali ya Umeme nchini. Nilichobahatika kumsikia ni kuwa haiwezekani kutatua tatizo la mgao ndani ya mwezi..tatizo kubwa ni upungufu wa maji , yaani ukame. Amesema serikali imetoa Oda kwa mitambo mipya inayokuja mwezi wa 12.! Kuhusu altenative energy kama umeme jua etc, kuongea kwake kulikuwa kama kubeza. Je kuna ya ziada wadau mmeyasikia tofauti na haya??. Maana nimekuta ndiyo anaishia.
Wasalaam
Nataka kujua kama huo ukame wa TZ ni mkubwa kuliko ukame ulioikumba Kenya ? Je aliulizwa hilo swali pia? Uganda asilimia 50% ya umeme wake unakuwa supplied na Aggreko ambayo ni kampuni kutoka Scotland. Aggreko hawazalishi umeme wa maji. Tukumbuke uganda ni nchi iliyoko ukanda wa ikweta unaopata mvua nyingi sana na kwa karibu mwaka mzima na ilishtuka mapema kutotegemea mabwawa licha ya kuwa na mvua ya kutosha. Iweje sisi tunaoishi sehemu ambayo mvua hazitabiriki tunategemea mvua kuzalisha umeme kama si kukosa serikali yenye upeo wa kuona mbali?
sio kuona mbali tu hata karibu hawa hawaoniNataka kujua kama huo ukame wa TZ ni mkubwa kuliko ukame ulioikumba Kenya ? Je aliulizwa hilo swali pia? Uganda asilimia 50% ya umeme wake unakuwa supplied na Aggreko ambayo ni kampuni kutoka Scotland. Aggreko hawazalishi umeme wa maji. Tukumbuke uganda ni nchi iliyoko ukanda wa ikweta unaopata mvua nyingi sana na kwa karibu mwaka mzima na ilishtuka mapema kutotegemea mabwawa licha ya kuwa na mvua ya kutosha. Iweje sisi tunaoishi sehemu ambayo mvua hazitabiriki tunategemea mvua kuzalisha umeme kama si kukosa serikali yenye upeo wa kuona mbali?
Amesema Serikali haiwezi kuleta mvua ili mabwawa yajae maji.
Kwa kweli napata taabu sana kumwelewa Mkulu, masihara yamemjaa, kubeza waliomtangulia na wapinzani ndo anaona dili. Hii nchi ni yetu wote jamani, tusidharauliane kwa kuwa wengine tuko nje ya Chama Twawala.