Raisi Jacob Zuma ananua nyumba ya sh 360 bilioni

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,034
144,388
Imeelezwa kuwa sababu ya kuzomewa Raisi wa Afrika ya Kusini,Jacob Zuma wakati wa msiba wa mzee Mandela,ni kitendo cha Raisi huyo kununua nyumba yenye thamani ya Randi milioni 200 ambazo ni sawa na sh 360 bilioni.

CHANZO:MWANANCHI

MY TAKE:
Raisi Kikwete na wenzako mmejifunza nini katika tukio la Raisi Zuma kuzomewa?
 
Wazawa wanakufa kwa kushindia mlo mmoja na watawala wanafisadi kununua majumba ya kufa mtu!!!!
 
Zuma! mbali kote huko? mbona Look.V amenunua ya 700ml na akaivunjilia mbali tayari kushusha ya zaidi ya hapo? Na wengine kibao wapo humu kwetu?​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…