Raisi Huyu!

Raisi Huyu!

Tafadhali madaktari mtujuze "3 most likely differentials" za mtu mzima anayeanguka-anguka hovyo-hovyo hadharani mbele za watu mchana kweupe manake Uhasama wa Taifa wametuficha anaumwa ugonjwa gani wakati ni haki yetu kujua
1. Epilepsy
2. Brain tumour
3. Anaemia
4. Hypoglycemia (diabetis mellitus)
5. Kaugonjwa ketu
6. Malaria kali (wadudu 500 na zaidi)
7. etc
 
Hapo kwenye red
 
wala simtishii mtu nasema endeleeni tu maana mnakosa adabu sana huwezi mzalilisha mtukufu rais kiasi hiki narudia tena itatugharimu

Jamiiforums where we dare to talk openly
 
JK unatukanwa sana mwanakwetu kaaaaa.hivi france umeenda kufanya nini vile?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom