Nadhani umri unamruhusu, kwani Dr alipokuwa Monduli alikuwa hafanyi vitu hivi??
Kipindi cha urais ni miaka minane tu, anahitaji kuishi kwa raha baadae!
Father, kwa nini lakini unamchukia mheshimiwa kiasi hiki????????
bwana mdogo acha matusi mara nyingi sana nakuona unamdhalilisha rais unachekewa utafanja iligharimu jukwaa uwe na adabu
wala simtishii mtu nasema endeleeni tu maana mnakosa adabu sana huwezi mzalilisha mtukufu rais kiasi hiki narudia tena itatugharimuWewe ni nani?Acha kutishia watu hapa
wala simtishii mtu nasema endeleeni tu maana mnakosa adabu sana huwezi mzalilisha mtukufu rais kiasi hiki narudia tena itatugharimu
ndo nasema muacheKwenda huko,mtukufu kwako siyo kwangu
ndo nasema muache
kwani tumekuwa wote lini hata sasa niachane nawe???Achana na mimi
kwani tumekuwa wote lini hata sasa niachane nawe???
mi na wewe nani ameanza kujipendekeza?? sio wewe uliyeanza kuni quote?? hizo tabia zenu za kumdhalilisha rais kwa kumwita dhaifu ipo siku mtauona ungangari wake
sawa sawaMkuu naona umepotea mno ngoja hiyo siku ifike
Father in All, my dear friend. The language in that red statement is not good at all. It is true that our dear president is weak in running the government and in terms of health status but it is not good to say that "Jitu linaanguka anguka hovyo utadhani lina kifafa." Try to put yourself in Kikwete's position and somebody utter same statement to you. How would you feel!
wala simtishii mtu nasema endeleeni tu maana mnakosa adabu sana huwezi mzalilisha mtukufu rais kiasi hiki narudia tena itatugharimu
wala simtishii mtu nasema endeleeni tu maana mnakosa adabu sana huwezi mzalilisha mtukufu rais kiasi hiki narudia tena itatugharimu
Weeee! DR JKilaza. zake push-ups za kitandani, ndo maana ana watoto na wanawake lukuki.Haya leta gharama itakayo nigarimu, naona unatokwa povu jeupe.:confused2:wala simtishii mtu nasema endeleeni tu maana mnakosa adabu sana huwezi mzalilisha mtukufu rais kiasi hiki narudia tena itatugharimu