Raisi Akiingia Misa ya Noeli

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
 

Attachments

  • x2.jpg
    57.3 KB · Views: 3,289
dada yetu kazini kama kawa
 
sidhani kama huyu dada ana mume ati
 
Huyo dada ni mgeni nini tofauti na yule niliokuwa namuona kwa jk na pia namuonaga kwa Magu juzi tu leo sijui alikuwa wapi
 
Kuna kipindi jamaa yangu alipata operation kwenye paja na kichwani kwahiyo ikabidi awe anaingia kanisani na msuli na balaghashia unajua kilichotokea ................. Zaidi ya dk 6-7 kanisa lilikuwa kimya mchungaji kaacha kuhubiri macho kwa jamaa na waumini nao ndio usiseme macho kwake hadi anaenda kukaa na pale walipomjua kidogo ndio roho zikatulia.(samahanini nje ya mada ila nimmekumbuka mbali sana)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…