nimesema mimi ni mtumishi wa Serikali,. Na kuja na mjadala huu, nimevaa uhusika kuwa, endapo ningekuwa Rais wa nchi, hata mimi kwa wakati huu ningefanya maamuzi aliyofanya Magufuli.
Wengi hoja zenu mnazileta, pasipo kuvaa uhusika wa uongozi...Mnatoa hoja either kwa mkumbo, na hisia za ubinafisi lakn si uzalendo na kujua nchi hii, ilikuwa ,wapi na iko wapi na inaelekea wapi kwa Kiongozi tulie nae.
Weka ubinafsi pembeni na na chambua mambo Km Kiongozi na Mwenye uzalendo kwa taifa hili.
Huwezi pandisha mishahara kwa kutegemea mikopo, utakuwa mtu wa ajabu sana.
anachokifanya ni kutengeneza Mazingira ya uwezo wa kulipa mishahara bila kukopa.