Wont be the same
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,564
- 2,483
Rais Yoweri Museveni amemwajiri tena mshauri wa ushawishi (lobbyist) wa Washington, Joseph Szlavik.
Katika kipindi chote cha utawala wake mrefu, Museveni amewahi kuajiri kampuni za mahusiano ya umma (PR) na washawishi, hususan nchini Marekani, kwa lengo la kuboresha taswira yake kimataifa, kukabiliana na ukosoaji, na kupata msaada wa kifedha na kijeshi.