Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,450
- 10,804
Wakati nikiwa mdogo niliamini kabisa kuwa binadamu asiyekosea ni mtu mwenye elimu ya pHD na aliyefikia level ya Professor. Hii niliamini kuwa wasomi hawa wamefikia viwango vya juu katika elimu ya kidunia.
Ni bahati nzuri raisi wetu mpendwa nae aliamini kidogo kama mimi na alipoingia madarakani aliwaamini na kuwapa nafasi cha ajabu wengi walianza vituko na kuweka elimu yao pembeni huku wakiboronga tuu hata zaidi ya wenye elimu ya kawaida.
Chukua mfano mdogo, yule waziri aliyepewa usafiri namba moja nchini kufuata inayoitwa dawa ya Covid19, alipofika tu akaimiminia ile dawa tumboni, akapiga picha na mzigo mnene Ila alipofika kwa nduguze akasema eti hairuhusiwi kutumika mpaka ifanyiwe tafiti kwa miezi sita (NB tuliambiwa ni dawa ya msaada ila Nina wasiwasi)
Ushauri wangu kwa rais wetu mpendwa akubali tu kuwa kuna makosa mengi yamefanyika ktk mpambano huu wa Corona. Eidha wanaomshauri na kuwaamini wanapotoka au yeye mwenyewe kama binadamu amekosea.
Corona is real, Kenya tu last time madereva from Tz 18 wametest positive, Rwanda most of cases ni za madereva as well as Uganda. Zambia sasa wametufungia mlango as tunapeleka Corona, tutabaki kama kisiwa cha mazimwi kinachotisha!
Rais wangu, muungwana akihisi yupo uchi huchutama, please jifunze mema ya jirani, wanapokupigia simu ukazipotezea unazidi kuwapa mabeberu faida ya kukuongea vby.
Kuiga mema mbona sio dhambi? Tuokoe nduguzo, wape meno waandamizi wako kina PM, mawaziri, wakuu wa mikoa na wilaya, mbona walikuwa wanaenda vizuri kabla haujatoa data zako za mapapai na mbuzi? Uanasayansi unatofautiana, wewe ni mzuri sana kwenye kemia ya maganda ya korosho, waachie walio vzr kwa afya ya binadamu nao wafanye kazi yao kwa Uhuru!
Jikalie kimya maana ukiongea ndo utaharibu zaidi baba yetu!
Wasalaam, mtanzania mlima viazi!