Rais wetu Magufuli, TRA wamefungua fixed account kwa faida unawafukuza kazi? Tufumbe macho tusali!

G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
11,555
35,880
Rais wangu Magufuli. Nimepewa taarifa kuwa fedha walizofungulia "fixed account" bodi ya wakurugenzi wa TRA ni fedha za kawaida za uendeshaji wa miradi ya TRA. Fedha hizi hazihusiani kabisa na fedha za mapato kutoka vyanzo mbalimbali (mapato yanayotuumiza na yale yasiyotuumiza). Sasa rais wangu hadi hili kweli ni vibaya kufungua "fixed account" ili kupata faida? Kwanini umewatenda wakusanyaji wako wazuri wa mapato hivyo?

Rais wangu naomba nikueleze kuwa hivi karibuni nitaandika makala humu kukushauri kwa dhati kabisa na wewe ufungue fixed account ila utakapochukua mikopo basi ile "interest rate" iwe sawia na ile ya kupata kutoka katika hizo "fixed account" Rais wangu uchumi unakufa! Amini hivyo!

Turudi kwenye mada! Hivi kweli hawa watu wana kosa gani? Kutokutii amri yako? Ipi? Ulichoagiza kisipelekwe huko kwenye mabenki yanayoenda mufilisi ni fedha za mapato ya serikali na siyo hizo zao binafsi kama TRA? Unajua kuwa bado jengo jipya la TRA halijakamilika? Bado wanadaiwa na wakandarasi? Kwanini wasijiongeze?

Kwakweli rais wangu kama tutaendelea kwenda hivi hatutafika mbali, naomba kukueleza kwa dhati kabisa kuhusu hilo.
 
Kama wanaweza kuweka kwenye FDA maana hawazihitaji!
Revenue Authorities duniani kote hawafanyi biashara ya kupata faida per se.
TEA nao wanachangisha fedha na kuziweka kwenye FDA kwa faida binafsi za ma CEO
Watumbuliwe haraka
 
Mmmh! Nimeamini wewe ni miongoni mwa watu wanafikiria kwa kutumia makalio. Unaleta kichefuchefu kabisa humu jf.
 
Kama wanaweza kuweka kwenye FDA maana hawazihitaji!
Revenue Authorities duniani kote hawafanyi biashara ya kupata faida per se.
TEA nao wanachangisha fedha na kuziweka kwenye FDA kwa faida binafsi za ma CEO
Watumbuliwe haraka
Mleta mada naona hata aelewi sijui, au akumsikiliza magu vizuri? Iyo dili chafu faida zilikuwa zinaingia mifukoni mwao watumbuliwe upesi sana
 
Rais wangu Magufuli. Nimepewa taarifa kuwa fedha walizofungulia "fixed account" bodi ya wakurugenzi wa TRA ni fedha za kawaida za uendeshaji wa miradi ya TRA. Fedha hizi hazihusiani kabisa na fedha za mapato kutoka vyanzo mbalimbali (mapato yanayotuumiza na yale yasiyotuumiza). Sasa rais wangu hadi hili kweli ni vibaya kufungua "fixed account" ili kupata faida? Kwanini umewatenda wakusanyaji wako wazuri wa mapato hivyo?

Rais wangu naomba nikueleze kuwa hivi karibuni nitaandika makala humu kukushauri kwa dhati kabisa na wewe ufungue fixed account ila utakapochukua mikopo basi ile "interest rate" iwe sawia na ile ya kupata kutoka katika hizo "fixed account" Rais wangu uchumi unakufa! Amini hivyo!

Turudi kwenye mada! Hivi kweli hawa watu wana kosa gani? Kutokutii amri yako? Ipi? Ulichoagiza kisipelekwe huko kwenye mabenki yanayoenda mufilisi ni fedha za mapato ya serikali na siyo hizo zao binafsi kama TRA? Unajua kuwa bado jengo jipya la TRA halijakamilika? Bado wanadaiwa na wakandarasi? Kwanini wasijiongeze?

Kwakweli rais wangu kama tutaendelea kwenda hivi hatutafika mbali, naomba kukueleza kwa dhati kabisa kuhusu hilo.
Watetea mafisadi chadema at work.

Dhambi ya kubadili gia angani na kuuza chama kwa mafisadi inawatafuna. Shetani yupo upande wenu
 
Watu wameanza kuona umuhimu wa kuwa na 'Rais Dhaifu na legelege asie na Msimamo aliepata Gentleman Degree' baada ya kukinai kasi ya Rais Msomi, Imara mweny Maamuzi ya haraka na asiekubali kuyumbushwa na Washauri

Tuvute subira imebaki Miaka 8 na Miezi 11 tu!

Zile Inflation rate zilizokuwa kubwa wakati wa Jk tulizokuwa tukitumia Wasomi na wajinga kumtukana Jakaya Kikwete chanzo chake kikubwa kilikuwa ni Wingi wa Fedha kwny Mzunguko sasa ndio Mzee wa Maamuzi ya haraka ( sio kukurupuka ) anaushughulikia.

Nasikitishwa sana na hatua za JPM za kiuchumi na nimezipinga tangu mwanzo lakini nampongeza sana Rais kwa kuzichukua kwa kuwa ndizo Wachumi Uchwara walikuwa wakishauri Jk azifuate lakin akazipotezea

Tulipiga sana kelele Rais apunguze Matumizi ya Serikal

Tulipinga sana unafuu wa Kodi kwa Wasafirishaji wa Mizigo Bandarini tukijidai eti ni upotevu wa Mapato na sasa zimepandishwa wamekimbia tunamlaumu JPM

Tulipinga sana Wingi wa Vyuo vilivyokuwa vikiibuka sasa vinavyekwa tunapinga

Tulilaumu sana Safar za Rais nje ya Nchi sasa zimedhibitiwa tunalalamika

Tulipinga sana uamuzi wa Jk kwenda kuomba misaada Nje ya Nchi sasa JPM hataki kwenda kuomba misaada anataka kila kitu apate kwny Kodi za ndani tunanalamika kuwa sasa anakamua Damu maziwa yameisha
 
Rais wangu Magufuli. Nimepewa taarifa kuwa fedha walizofungulia "fixed account" bodi ya wakurugenzi wa TRA ni fedha za kawaida za uendeshaji wa miradi ya TRA. Fedha hizi hazihusiani kabisa na fedha za mapato kutoka vyanzo mbalimbali (mapato yanayotuumiza na yale yasiyotuumiza). Sasa rais wangu hadi hili kweli ni vibaya kufungua "fixed account" ili kupata faida? Kwanini umewatenda wakusanyaji wako wazuri wa mapato hivyo?

Rais wangu naomba nikueleze kuwa hivi karibuni nitaandika makala humu kukushauri kwa dhati kabisa na wewe ufungue fixed account ila utakapochukua mikopo basi ile "interest rate" iwe sawia na ile ya kupata kutoka katika hizo "fixed account" Rais wangu uchumi unakufa! Amini hivyo!

Turudi kwenye mada! Hivi kweli hawa watu wana kosa gani? Kutokutii amri yako? Ipi? Ulichoagiza kisipelekwe huko kwenye mabenki yanayoenda mufilisi ni fedha za mapato ya serikali na siyo hizo zao binafsi kama TRA? Unajua kuwa bado jengo jipya la TRA halijakamilika? Bado wanadaiwa na wakandarasi? Kwanini wasijiongeze?

Kwakweli rais wangu kama tutaendelea kwenda hivi hatutafika mbali, naomba kukueleza kwa dhati kabisa kuhusu hilo.
Wewe na Magufuli nani yupo kwenye nafasi nzuri ya kupewa Taarifa za kweli?
TEA nako wameweka bilioni 30,kama ulikua hujui zile faida wazee walikua wanagawana haziendi serikalini na sio sera wala sheria kuweka hela katika FD.Piga hesabu hizo bilioni 30 za TEA wakiweka FD ya siku 30 tu,kwa riba ya asilimia 5,wazee wapo wapi.
Mme ji tune kuwa kupinga kila afanyacho magufuli,matokeo yake mnaonekana mnatetea mafisadi kama hivi
 
Hizo faida za fixed deposit ndio zimeifadhili CHADEMA
 
Back
Top Bottom