mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,127
- 58,858
Kwahyo kwakuwa ww ulimchagua basi ndio rais?Uchaguzi wa mwaka 2015 Huyo ndo niliyemchagua.sijasema rais wa Tanzania tumia akili yako vizuri.
Ni maana ya wetu?Uchaguzi wa mwaka 2015 Huyo ndo niliyemchagua.sijasema rais wa Tanzania tumia akili yako vizuri.
Kazi ipo!
Isingekuwa "kubambikizwa" tuhuma za ufisadi na kuchafuliwa sana kwa zaidi ya miaka 10, huyu mzee sijui angekuwa wapi. Inasikitisha sana!![]()
Akizike hicho chama kilichomchafua......maana wamempa nafas tayari ya kuandaa mazishi....anayo nafas kulipa fadhila njema ya Chadema kwa Lowasa .........Fadhila kwa akina Mbowe.......fadhila kwa akina Lissu na akina Lema ..........ati..."Ni heshima kwa Mungu kumzomea fisadi".......Lema bwana .....siasa sio aiseeKazi ipo!
Isingekuwa "kubambikizwa" tuhuma za ufisadi na kuchafuliwa sana kwa zaidi ya miaka 10, huyu mzee sijui angekuwa wapi. Inasikitisha sana!![]()