Serikali inapata hasara ya mamilioni ngapi kwa cku kwa ufisadi wa Maghufuli kuuza nyumba za serikali?
Mbinafsi mkubwa. Mtendaji lakini ana mapungufu mengi. tutajuta akiwa Rais.
hata awe msafi kama malaika, akitokea ccm tu ni mchafu kama shetani.
Hongera Maswi uliona mbali!! Upepo wa mabadiliko umewalazimisha CCM kumkubali Magufuli.hatimaye utabiri wangu umetimia.
Hatimaye utabiri wangu umetimia.
Kwani bado tuko mfumo wa chama kimoja!?
Kwani bado tuko mfumo wa chama kimoja!?
hongera maswi kwa utabiri wako hakika umempiku T.B Joshua.
Mzee wa kubet.
Teh teh teh
hongera maswi kwa utabiri wako hakika umempiku T.B Joshua.