Mh. John Pombe Magufuli ni mtoto wa kisiasa wa Ben Mkapa yule rais aliyeuza rasilimali nyingi za nchi na kujitajirisha yeye na kakikundi kake akiwemo magufuli aliyechukua nyumba 3 au 5 za serikali. Ben Mkapa ni mtu wa karibu kiufisadi na Rostam Aziz, nimesema kiufisadi kwani huu mfumo unawaunganisha wengi siyo lazima wawe na itikadi moja ya kisiasa, au urafiki wa karibu, ni kimfumo zaidi. Naam! sasa RA ni swahiba wa mh Edward Lowassa, na hapa sasa tunamuona RA, EL, Mkapa na Crew zima ya mafisadi wakifurahia unachoongea wewe mweka thread, kutupumbaza na tuwape kura waendeleze mfumo wao wa kinyonyaji. Angalia kampeni za igunga zilivyoenda kama una mashaka na mimi-mkapa, Dr Kafumu,(aliyempa mkapa kiwira) magufuli, jan makamba, (mfuasi muhimu wa mfumo wa kifisadi), nk
Kama ulikua hujui jua hilo, kama ulikua unataka kupima kama sisi tunajua au hatujui, tunajua, kama umetumwa na wakuu wako kutuchunguza hapa basi endelea kutuchunguza woga umetuishia inaf iz inaf
mimi binafsi ningependa tuwe na rais wa jamii ya MAGUFULI, je kwa chama chetu CHADEMA, nani anaweza kuhimili vishindo vya MAGUFULI kama akisimamishwa na MAGAMBA ?, hatajwitajwi lakini MAGAMBA yakizidiwa yanaweza kusema ngoja tunusuru chama, tusimamishe MAGUFULI, kazi itakuwepo hapo kupambana na huyu mtu. WANANCHI wengi wana imani naye sana. Ndani ya MAGAMBA hakubaliki ila ndani ya WANANCHI anakubalika. nakaribisha MJADALA.
wote magufuli na slaa hata wawe chama gani hawafai kwa tabia zao.ni watu ambao mtu akipata tabu au kulipiza wanaona raha
Nendeni CCM mkamuunge mkono aupate urais. Kwa nini muwe CHADEMA na mtu wenu yuko CCM? Opportunists.hapo kijana Magnificient umenena hata mimi CHADEMA DAMU na Mwanachama kwa maoni yangu ndani ya CCM namuona MAGUFULI tu, but Kamati kuu ya MAGAMBA wanamwogopa sana kwamba akishika nchi atawabuluza mafisadi. tuombee wansimamishe uchaguzi ujao.
mimi binafsi ningependa tuwe na rais wa jamii ya MAGUFULI, je kwa chama chetu CHADEMA, nani anaweza kuhimili vishindo vya MAGUFULI kama akisimamishwa na MAGAMBA ?, hatajwitajwi lakini MAGAMBA yakizidiwa yanaweza kusema ngoja tunusuru chama, tusimamishe MAGUFULI, kazi itakuwepo hapo kupambana na huyu mtu. WANANCHI wengi wana imani naye sana. Ndani ya MAGAMBA hakubaliki ila ndani ya WANANCHI anakubalika. nakaribisha MJADALA.
mi naona we ndo unatufaa,,....au wanao au mkeowote magufuli na slaa hata wawe chama gani hawafai kwa tabia zao.ni watu ambao mtu akipata tabu au kulipiza wanaona raha
Kweli mkuu uliota Ukweli MCHANA
.