Magufuri haiwezi nafasi ya maamzi kama ya rais yeye ni mtendaji , mtu wa kupewa kazi na kuifanya kwa uaminifu na siyo siasa za maji taka za urais
You are very wrong! Najiuliza kuwa unapokuwa unatoa jibu kama hilo unatumia vigezo gani wewe? Unataka kumaanisha Kikwete anafaa kuliko Migufuri? Usitake kutoa judgement ya mtu kwasababu za kutoka mfukoni kwako. Tukiruhusu judgements hizo, mimi nitazitumia kukuhukumu wewe pia kwa kutumia jina lako la Oba, kuwa wewe una-push ganja ... ha ha ha ha!
Tuache utani, nafasi ya rais sasa hivi ni nyeti kwasababu kuu zifuatazo:
(1) Nyerere aliongoza nchi hii vizuri sana na kuweka precedence ambayo waliomfuata wameshindwa kuifikia
(2) Watu wamepoteza maana ya rais kama kiongozi wa watu, sasa wanaanza kuona kama ni zamu ya ama kabila, au dini, au ukanda kutumbua keki ya taifa
(3) Mali asili imeporwa na viongozi baada ya Nyerere, Ardhi imeuzwa na haohao, Viwanja vinanunuliwa na wageni na wananchi wazawa wanaanza kuwa marginalised
(4) Influx ya foreigners ni kubwa kuliko wakati wowote, na wanakuja na capital power. Tuna wachina, wasomali, waarabu, wahindi, wakenya, wanigeria, pakstan, nk.. wanakuja kuishi, kunua ardhi, kufanya biashara...wana uwezo mkubwa wa (1) mawazo ya biashara (2) capital (3) information (4) Exposure, (5) business networks nk
Wa-Tz wamekuwa timed wakingali bado wanaamini kuwa rais anawalinda, analinda nchi na mali zao, anawapenda na kuwafundisha na kuwatayarisha kujilinda. Wakati wakiwa katika hali kama hiyo, kumbe wanayemwamini alishabadilika kutoka binadamu hadi nunda mla watu. Very sad
Sasa, kila upande tuangalie, yaani Ruling part na Opposition parties:
[TABLE="class: grid, align: center"]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]
CCM[/TD]
[TD]
CDM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1
[/TD]
[TD]Kina performance record mbili nzuri (Nyerere) na mbaya (Non-Nyerere)
[/TD]
[TD]Bado hakijashika dola
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2
[/TD]
[TD]Sera zao ni nzuri
[/TD]
[TD]Sera zao ni nzuri
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3
[/TD]
[TD]Record yake ni ya mtu mmoja tu (Nyerere)
[/TD]
[TD]Record yao ni ya mtu mmoja tu (Dr W. Slaa)
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]4
[/TD]
[TD]Kina watu wazuri na wabaya
[/TD]
[TD]kina watu wazuri na wabaya
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]5
[/TD]
[TD]Kujisafisha ni vigumu, labda yafanyike mapinduzi ya mtutu kuua mafisadi wote
[/TD]
[TD]Hakijachafuka, lakini kina potential ya kuchafuka pia
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]6
[/TD]
[TD]Kina watu wengi wenye uwezo wa kuongoza kama vile:
Magufuri, Mwandosya, Lowasa, Mwakyembe, Membe, Mwinyi, na wengine...
[/TD]
[TD]Kina watu wenye uwezo wa kuongoza kama:
Dr W. Slaa, Mh Tundu, Mh Zito, Mh Mbowe.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Pia kuna vyama vingine kama CUF kule kuna Prof Haruna Ibrahim Lipumba, ana uwezo, kuna NCCR na TLP. Kwa mawazo yangu mimi ni kuwa, CCM iondoke ikae pembeni mwaka 2015 ili kuimarisha democrasy, kisha miaka ijayo vyama vya upinzani vibaki 2 au 3 na kuimarisha mfumo huo. Lakini ukweli hakuna chama hata kimoja ambacho ni kizuri 100% au kina watu wazuri 100% tusidanganyike, hakuna, na siyo Tz peke yake, bali hata UK, USA na Israel. Kote huko kuna binadamu tu kama mimi na wewe. Samahani sina mpangilio lakini naomba upate hoja yangu katika mvurugano wa mawazo ktk hoja yangu.
Magufuli hafai kabisa, kwanza umedanganya kuwa wananchi wengi wanaimani nae, hiyo sio kweli hata kidogo. Mwananchi gani atakuwa na imani na mtu aliye uza nyumba za serikali kwa rafiki na mahawara zake? nakwambia akiwa raisi ataziuza barabara zote za lami halafu ataweka rehani ofisi zote za serikali iliapate fedha za kuendeshea nchi. Tafadhari sana epuka kabisa kutaja jina la shetwani huyo.mimi binafsi ningependa tuwe na rais wa jamii ya MAGUFULI, je kwa chama chetu CHADEMA, nani anaweza kuhimili vishindo vya MAGUFULI kama akisimamishwa na MAGAMBA ?, hatajwitajwi lakini MAGAMBA yakizidiwa yanaweza kusema ngoja tunusuru chama, tusimamishe MAGUFULI, kazi itakuwepo hapo kupambana na huyu mtu. WANANCHI wengi wana imani naye sana. Ndani ya MAGAMBA hakubaliki ila ndani ya WANANCHI anakubalika. nakaribisha MJADALA.
nimependa uchambuzi wako.You are very wrong! Najiuliza kuwa unapokuwa unatoa jibu kama hilo unatumia vigezo gani wewe? Unataka kumaanisha Kikwete anafaa kuliko Migufuri? Usitake kutoa judgement ya mtu kwasababu za kutoka mfukoni kwako. Tukiruhusu judgements hizo, mimi nitazitumia kukuhukumu wewe pia kwa kutumia jina lako la Oba, kuwa wewe una-push ganja ... ha ha ha ha!
Tuache utani, nafasi ya rais sasa hivi ni nyeti kwasababu kuu zifuatazo:
(1) Nyerere aliongoza nchi hii vizuri sana na kuweka precedence ambayo waliomfuata wameshindwa kuifikia
(2) Watu wamepoteza maana ya rais kama kiongozi wa watu, sasa wanaanza kuona kama ni zamu ya ama kabila, au dini, au ukanda kutumbua keki ya taifa
(3) Mali asili imeporwa na viongozi baada ya Nyerere, Ardhi imeuzwa na haohao, Viwanja vinanunuliwa na wageni na wananchi wazawa wanaanza kuwa marginalised
(4) Influx ya foreigners ni kubwa kuliko wakati wowote, na wanakuja na capital power. Tuna wachina, wasomali, waarabu, wahindi, wakenya, wanigeria, pakstan, nk.. wanakuja kuishi, kunua ardhi, kufanya biashara...wana uwezo mkubwa wa (1) mawazo ya biashara (2) capital (3) information (4) Exposure, (5) business networks nk
Wa-Tz wamekuwa timed wakingali bado wanaamini kuwa rais anawalinda, analinda nchi na mali zao, anawapenda na kuwafundisha na kuwatayarisha kujilinda. Wakati wakiwa katika hali kama hiyo, kumbe wanayemwamini alishabadilika kutoka binadamu hadi nunda mla watu. Very sad
Sasa, kila upande tuangalie, yaani Ruling part na Opposition parties:
[TABLE="class: grid, align: center"]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]CCM[/TD]
[TD]CDM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1[/TD]
[TD]Kina performance record mbili nzuri (Nyerere) na mbaya (Non-Nyerere)[/TD]
[TD]Bado hakijashika dola[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2[/TD]
[TD]Sera zao ni nzuri[/TD]
[TD]Sera zao ni nzuri[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3[/TD]
[TD]Record yake ni ya mtu mmoja tu (Nyerere)[/TD]
[TD]Record yao ni ya mtu mmoja tu (Dr W. Slaa)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]4[/TD]
[TD]Kina watu wazuri na wabaya[/TD]
[TD]kina watu wazuri na wabaya[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]5[/TD]
[TD]Kujisafisha ni vigumu, labda yafanyike mapinduzi ya mtutu kuua mafisadi wote[/TD]
[TD]Hakijachafuka, lakini kina potential ya kuchafuka pia[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]6[/TD]
[TD]Kina watu wengi wenye uwezo wa kuongoza kama vile:
Magufuri, Mwandosya, Lowasa, Mwakyembe, Membe, Mwinyi, na wengine...[/TD]
[TD]Kina watu wenye uwezo wa kuongoza kama:
Dr W. Slaa, Mh Tundu, Mh Zito, Mh Mbowe.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Pia kuna vyama vingine kama CUF kule kuna Prof Haruna Ibrahim Lipumba, ana uwezo, kuna NCCR na TLP. Kwa mawazo yangu mimi ni kuwa, CCM iondoke ikae pembeni mwaka 2015 ili kuimarisha democrasy, kisha miaka ijayo vyama vya upinzani vibaki 2 au 3 na kuimarisha mfumo huo. Lakini ukweli hakuna chama hata kimoja ambacho ni kizuri 100% au kina watu wazuri 100% tusidanganyike, hakuna, na siyo Tz peke yake, bali hata UK, USA na Israel. Kote huko kuna binadamu tu kama mimi na wewe. Samahani sina mpangilio lakini naomba upate hoja yangu katika mvurugano wa mawazo ktk hoja yangu.
toa mbadalaMagufuli hafai kabisa, kwanza umedanganya kuwa wananchi wengi wanaimani nae, hiyo sio kweli hata kidogo. Mwananchi gani atakuwa na imani na mtu aliye uza nyumba za serikali kwa rafiki na mahawara zake? nakwambia akiwa raisi ataziuza barabara zote za lami halafu ataweka rehani ofisi zote za serikali iliapate fedha za kuendeshea nchi. Tafadhari sana epuka kabisa kutaja jina la shetwani huyo.
Tanzania inavijana wengi wazuri sana, cha kuling'ang,ania hilo fisadi majununi nini? Kweli ktk watanzania milioni 40 ushindwe kumuona mtu isipo kuwa hilo robot lako!toa mbadala wake, au wewe unamhitaji EL? mimi ninachotaka ni mbadala wake, sasa siyo kutoa mapungufu bila kutaja mtu ambaye hana mapungufu, taja ambaye hana mapungufu.
Subiri muda wake utawaona vijana wa kazi watavyojitokeza. Wachana na hiyo mifisadi wewe.toa mbadala
Ni kweli kwa sababu CCM ni taasisi inayoendeshwa kwa mfumo wanaouamini wao, hivyo hata akitokea nani mle ataambiwa huo sio utaratibu wetu, labda unda chama chako..........la msingi ni kwamba hadi sasa hv ipo mtaroni inasubiri kukamatwa tu.No one i can trust in CCM!!! We need some from opposition and this is Dr W Sla'a
Anakashfa ya national housing! au umeisahau? Itamgharimu sana.
maneno ya watu hayo, mbona hiya kitu ni ya ben. bana, angeweza mwenyewe?
Hivi kule pwani wakina Riz 1 waliposema raisi ajaye hatatoka kaskazini, juzi kwenye ufunguzi wa matawi ya Magamba kule Arusha mmoja ya mada kuu ni Urais, je hawa hukuöna kwamba wamewahi sana?Magandwa wana matatizo kweli, badala ya kuwaza kuwatumikia wananchi mnawaza 2015 uraisi.
ndugu wewe unazani kuna mtu hana mapungufu kwenye hii DUNIA yetu, wote tuna mapungufu. mimi binafasi nahitaji kujua nani anaweza kusimama na hii kichwa kama kikifanikiwa kupenya ndani ya MAGAMBA, hilo ndo swali kuu. siyo mambo ya mapungufu.