Ikitotanzila
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,408
- 2,266
Nani kakwambia kushinda kwa Samia kunategemea kura za wananchi au kushinda kwa ccm kunategemea kura za wananchi? Upige usipige ccm lazima ishinde na Samia ndiye rais mpaka 2040Mheshimiwa huu ujumbe unakuhusu ni jambo jema sana kama umefanikiwa kuupitia hapa nq kuusoma.
1. Wasaidizi wako wanakuhadaa
Kinachofanyika sasa ni propaganda kwamba unakubalika na unapendwa sehemu kubwa ya nchi. Ukweli ni kwamba kiwango chako cha kukubalika kwa wapigakura kinashuka kwa kasi kubwa kila uchao.
Wasaidizi wako wanafifisha juhudi zako kuwaletea unafuu wamanchi wako kwa makusudi. Makusudi hiyo inafanyika kupitia shauri mbalimbali ambazo zinagusa maeneo unayoyapa kipaumbele.
Kama kura zitapigwa leo kwa haki hautavuka hata asilimia 40.
Katika uliowateua wapo moles. Hawatobadilika
2. Rais Mwanamke
Hii agenda haijafa na inaendelea kuasisiwa na wahafidhina ndani ya CCM upande wa Bara. WanaCCM wengi wanaona ni mapema sana kuongozwa na Rais Mwanamke hivyo wanafanya kila liwezekanalo uweze kukwama kisha ukae pembeni 2025.
Jaribio la kupigiwa kura ya kutoluwa na imani Bungeni umelikwepa kwa ufundi baada ya yule mzee kujiuzulu.
Usidharau maneno ya chinichini huwa ni ujumbe mkali sana.
3. Hali ya maisha kupaa
Ugumu wa maisha umepandisha sintofahamu kubwa dhidi yako. Sote tunafahamu vita inayoendelea Ukraine imechangia mkwamo wq uchumi, lakini wananchi wako wanafanya comparison ya nchi zinazotuzunguka ambazo nyingine zinahudumiwa na Bandari yetu wanang'amua tunapigwa mchana kweupe.
Waziri wako wa fedha usimchukulie poa, naye ni presidential aspirant.
4. Umeme
Siyo siri mradi wa Nyerere Hydropower Dam unasuasua na inawezekana ukageuka historia.
Uganda soon wataingiza umeme Mwanza na utauzwa bei nafuu. You know what? Anayemlipa zumari ndiye huchagua wimbo.
5. Pambano lisiloisha
Mheshimiwa, kadiri unavyoendelea kumsema vibaya mtangulizi wako kwenye medani za kimataifa ndivyo unavyopunguza reputation yako nyumbani.
Katiba hotuba yako kwa Taifa wakati wa msiba. Ulimtaja kama MWANAMWEMA WA AFRICA.... lakini kinachoendelea sasa ni enthusiants wako wanamtukana waziwazi na serikali yako kupitia nyanja mbalimbali inapambana kuprove kuwa mtangulizi alikuwa mtu mbaya sana.
5. Haujachelewa kuunda serikali. Apisha waziri wako mkuu kisha teua Baraza jipya la Mawaziri.
Wananchi wanasikia, wanaona na siku wakiamua hakuna wa kuwazuia.
UMEFELIMheshimiwa huu ujumbe unakuhusu ni jambo jema sana kama umefanikiwa kuupitia hapa nq kuusoma.

Hakuna la maana umeandika zaidi ya ujinga.Mheshimiwa huu ujumbe unakuhusu ni jambo jema sana kama umefanikiwa kuupitia hapa nq kuusoma.

Wasifia kupata teuzi wala hawapo pamoja naye hata kidogoMaoni yangu kwa Bimkubwa wale wanaomsifia kuwa "anaupiga mwingi" awe anawaambia wataje specific anaupiga mwingi wapi, kitu gani, lini!! kwa maana unafki na kujipendekeza ni sehemu ya utamaduni wetu!
hali ni mbaya sana mitaani pesa hamna wababa wanasepa miji yao! Mama ni muislam akumbuke hili "kila mchunga ataulizwa kwa alichokichunga"
kafeli wapi? nini?UMEFELI
Siimbagi pambio bali naenda na facts..Wakija,watakuambia wewe ni sukuma gang
Ngoja aje mwimba mapambio wa mama bwana The Sunk Cost Fallacy
Atashinda kwa kura zote za Wananchi zikiwamo ..Nani kakwambia kushinda kwa Samia kunategemea kura za wananchi au kushinda kwa ccm kunategemea kura za wananchi? Upige usipige ccm lazima ishinde na Samia ndiye rais mpaka 2040
Nchi imetulia vp wakati ndio kwanza vinarudi vikundi vya uharifu kama panya road.Kwa hyo mfu alivyokuwa anawasema watangulizi wake reputation ilipanda ee.
Unaandika uharo wa mumeo una generalise mawazo ya watanzania wote.
We huoni nchi ilivyotulia.
Wasukuma mmeanza kuvuta bangi na bado
Endeleeni kumbeza tu huyu raia lakini ukweli ndio huo! Kuna mahali mama anapotoshwa na yeye sasa asivyokuwa na ubongo kichwani anakubali tu! Huku mtaani hali siyo!Kwa hyo mfu alivyokuwa anawasema watangulizi wake reputation ilipanda ee.
Unaandika uharo wa mumeo una generalise mawazo ya watanzania wote.
We huoni nchi ilivyotulia.
Wasukuma mmeanza kuvuta bangi na bado
Kweli kabisa, kumchukia wala haitawasaidia maana anaetangaza matokeo ya uchaguzi ni mtu aliemteua yeye mwenyewe na atafuata maelekezo yake.Kwa Katiba hii hana haja ya kutegemea kura zenu ili awe Rais, mnawadharau bure wanaolilia Katika Mpya na tume huru ya uchaguzi. Kwa mtindo aliotumia Magufuli kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa na uchaguzi mkuu uliopita na wana CCM mkaufurahia,si rahisi kumuondoa Rais aliyeko madarakani kwa sanduku la kura. Huyu amewaganda na cha kumfanya hamna
Kwenye kusifia tu nimewakubali, itakua fungu lipo la kutosha26 May 2022
Accra, Ghana
Magavana wa Benki za Afrika wavutiwa na sera za Mh. Samia Hassan
Sababu gani Mh. Rais Samia Hassan style ya uongozi wake imekuwa kivutio barani Afrika na watu wengi kuanza kumfuatilia. Rais Samia Hassan akizungumza mbele ya mkutano wa AfDB wa magavana wa benki kuu za Afrika afunguka mafanikio makubwa katika uchumi na kuishinda covid-19 ambayo ilitishia chumi nyingi za dunia .... pia sera zake kufunguka kwa dunia imesaidia Tanzania kupata wadau wa maendeleo waliomiminika kutoa mikopo na misaada ambayo imepunguza msongamano wa wanafunzi darasani, ujenzi wa vituo vya afya ....
26 May 2022
Accra, Ghana
GHANA- AFDB: Tanzanian president Samia Hassan at the center of attentions
The first female president of Tanzania, Samia Suluhu Hassan present during the governor dialogues proved that women can do more than men looking at what she accomplished in her country, especially with the help of the AFDB group
Source : VoxAfrica
Umeamua kuwa mnafiki. Kura za haki hawezi pata hata 15% hata angeshindana na yule Mdude Nyagali.Kama kura zitapigwa leo kwa haki hautavuka hata asilimia 40.
Bahati mbaya sana rasimu ya warioba inayoshabikiwa na wengi haikuliona hili. Ile rasimu haifai, nishasema mara kadhaa kuwa ni takataka.Cha kukiogopa ni iwapo itatumika staili ya Rais kufariki akiwa Madarakani kisha Makamu wake kuapishwa automaticall. Hiki kipengele cha Katiba yetu ndio cha kukiogopa, maana Makamu akiwa na uchu wa Madaraka ni rahisi kufanya hujuma
Tafadhali, achana na kutaja ukabila hapa. Hatuna tabia hiyo. Deal na aliyeleta mada, do not generalize. Mimi siyo Msukuma lakini pia siyo Kaburu. Huko tushatoka zaidi miaka 60 sasa. Usitake kuturudisha tusikokutaka, zaidi zaidi kusikofaa. Laana ya ukabila katasikie mbali.Kwa hyo mfu alivyokuwa anawasema watangulizi wake reputation ilipanda ee.