Galacha Maestro
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 1,353
- 2,220
MWAMBIENI POMBE AACHE SIFA
Kiufupi siyashabikii haya matusi ya Bw POMBE kwa Mwenyekiti wetu wa Chama,
Hawezi kumdhalilisha kiasi hiki,
Hawezi kuwa strict kiasi hiki.
Hawezi kufanya kazi kwa kasi.
He's defaming my chair as if He had not been his minister,
Why he's doing this so quick?
Kwanini asifanye pole pole ili watu wasimdharau mtangulizi wake?
Hizi sifa zote za nini?
Eti kwani anataka nini hasa?
Napenda Maendeleo lakini Siungi mkono kazi kubwa anayoifanya huyu Bw POMBE wenu manake hata kibiashara itaturudisha nyuma mno sisi wauza madawa ya kupunguza uzito maana soko lake lilikuwa kwa watumishi wa sasa wewe unawapeleka mchaka mchaka huo watanenepa saa ngapi?
Kinachoniudhi zaidi ni hii kejeli yako ya kusema kuna majipu unayatumbua, hii kauli si ya kiungwana kabisa ni dharau kwa Mwenyekiti wangu
Hawezi kusema majipu bora useme hata mizigo au wazembe utumie kauli za kiungwana sasa wewe unaita watu majipu kweli watu ni majipu kweli!
Na kama ni hivyo Mbona Mwenyekiti aliwasifia enzi zile au wewe Bw Pombe unajifanya wewe ndio unajua sana?
Sikatai naona unajaribu jaribu kubana matumizi lakini si kukataa sherehe bhaana hili si sahihi watu walishategesha matumbo wewe umeblock njia hivi wewe una akili gani wewe au una mdudu kichwani?
Acha hizo wewe Huwezi kufanya kazi kwa kutafuta sifa unazozitaka Bw Pombe
Mimi nakuona ukitafuta kick kwa nguvu mara DC awaweke watu ndani mara RC azuie likizo ilimradi sifa tu.
Yaani imekuwa serikali ya miside side tu kila siku maside mapya kaa ukijua hatupendi maside yako tupo tumetulia tunakuchora tu ukijifanya na unyerereee wako uliomshinda teacher
Yaani wewe unataka magazeti yote ulimwenguni yaliandike jina lako tu khaaaa?
Si uache na wenzako waandikwe acha sifa zako wewe kwanza mbona mkeo ha-make headlines kama yule au yeye umemwambia aendelee kufundisha?
Daaah! Ngosha hivi haya maside umeyatolea wapi au uliwahi kuishi BUKOBA?
Sikupondi ila nataka upunguze sifa kidogo na uwe mstaarabu,
Nakupongeza sana kwa juhudi zako za kumkwamua mtu wa hali ya chini.
Nakupongeza pia kwa baraza lako la Mawaziri namuona Mbeya City Boy licha ya jibu lake kuwa kwenye paji la uso sijui ni halijaiva au hujataka tu kulitumbua au vipi yani sielewi elewi ujue ila ninaamini utalitumbua likiiva labda bado halijaiva vizuri labda unataka litumbuke kwa mlio mkali wa tuuuuuusu
Sema umwambie NAPE kwenye mpira wa miguu huku atufanyie Manuva hata kwa goal la mkono tushiriki world Cup aisee tumechoka kila siku kufungwa.