Rais wangu Kikwete, siwezi kununua hata dagaa sasa!

Siyo siri dadangu hii imeniuma balaa. Na hapa utaambiwa tumethubutu tumeshindwa na tunazidi kurudi nyuma!
 
Hapo kukuelewa itakuwa ngumu. Tumia tu lugha yako asili hii ya kigeni huiwezi!

Kwa Kiingereza huniwezi hata ukichakachuwa, upo out of context, weka kitu kamili, kinaeleweka kabisa. Labda nikupe darsa kuhusu Kiingereza; nilikuwa nafundisha Kiingereza Uingereza, upo hapo ulipo?
 
Typo or thumbo and not language mistake, just take a look at where u and i is?

kwani language mistake iko vipi!? Kwa mfano mimi nikimwambia mtu toa pumba halafu badala ya kumalizia na "a" kwenye pumba nikaweka "u" je nitakua nimebadili maana au maana itakuwa ile ile...
 

Vp we ulimpiga kura ya urais tu? Ka ulimpigia na mbunge wako mtafute akuwezeshe kwa posho alizopokea, maanake huwa zinatumika kusaidia wapiga kura kwny harambee na misiba ka wanavyodai wabunge wenyewe
 
kwani language mistake iko vipi!? Kwa mfano mimi nikimwambia mtu toa pumba halafu badala ya kumalizia na "a" kwenye pumba nikaweka "u" je nitakua nimebadili maana au maana itakuwa ile ile...

Language mistake unapoandika "nafikili" badala ya "nafikiri". Hiyo unayosema wewe itakuwa ni kusudi na si "mistake", kwani "u" iko wapi na "a" iko wapi kwenye "keyboard" yako? kama untaka kujifundisha kuandika "start a thread" kule jukwaa la elimu, ntakuja kukupa darsa, hapa wacha tuandike kuhusu dagaa.
 
Kwa Kiingereza huniwezi hata ukichakachuwa, upo out of context, weka kitu kamili, kinaeleweka kabisa. Labda nikupe darsa kuhusu Kiingereza; nilikuwa nafundisha Kiingereza Uingereza, upo hapo ulipo?

duh... Wewe ni noma! Leta darsa watu tupate ilmu...
 

Jk achana nao wasikuzingue waliogoma umande hao wewe ukakomaa na shule. Anayetaka kwenda chadema aende maana kelele zimezidi
 
Dagaa huwezi kununua lakini fedha ya kuingia mtandaoni unayo, au unaiba mtandao wa ofisini?

mtandao ni mia tano kwa saa, au hata kwa rafiki waweza kulog in na kutuma au hata kwa simu

usiulize maswali kama katibu wa ccm dodoma mazee, you are smarter than that mamaa
 
Thanks JichoD umei-present vizuri yaani it is touching message short and clear.
 

pamoja... oa
 

Hapa unaongelea wale Dagaa wachungu wa ziwa victoria, ukiongelea wale KAPENTA wa Lake Tanganyika, ni kwamba Kilo moja ni Tshs 25,000.
 
Nafikili jk hajatubana vya kutosha, jk bana hao vihelehele wanawake pia vijizee (vibibi na vibabu) vipenda sifa mpaka mashuzi uyasikie yakitokea kt masabuli yao, hasa hao ulowapa tshirt, kofia pia pakti za chunvi bana mpaka washike adabu zao maana hawakuujua uongo wako kuwa neno hari mpya, kasi mpya na nguvu mpya wajue kuwa ni uongo pia ghiliba kama uongo mwingi ulokuwa ukiutoa, maana ata ahadi zko tangu 2005 ni 15% ulizotekeleza, aksante sana jk
 
kwa kiingereza huniwezi hata ukichakachuwa, upo out of context, weka kitu kamili, kinaeleweka kabisa. Labda nikupe darsa kuhusu kiingereza; nilikuwa nafundisha kiingereza uingereza, upo hapo ulipo?
apoooooooo!!!!!!!!! Muongeze nyingine mpaka hakukome......... Te te te ...
 
Kula jeuri yako ya kukataa mabadiliko.... We una tumbo la kuhara afu unatishia kujamba?
 
huwezi kufananisha enzi ya nyerere na sasa.na majanga ya njaa yanaweza kutokea wakati wowote bila kujali utawala uliopo.kuhusu computer hata wakati huo ulaya kwenyewe zilikuwa bado,simu ndo kabisaa.tv hata huko tokyo walikuwa cdo wanatumia black and white.usipongeze mtoto wa kike kuota matiti ama wa kiume kuota ndevu ukasema ni malezi wakati hata angekulia mtaani atafikia hiyo stage ya mabadiliko ya maumbile
kipindi hicho wewe ukiwa mmojawapo unayesurvive kwa kuwa ulipata chanjo na matibabu bure.elimu uliyopata bure.viwanda kibao na pamoja na makabila yenu utitiri hapa mnabofya keyboard lugha moja.kahawa na katani na pamba ndo ilifanya kazi mkatunziwa dhahabu zenu msome kwanza leo mnatumia ilimu yenu kukashifu na kusaidia smuggling ya natural resources! shame on you vibaraka!
 

Nakumbuka wakati nasoma chekechea pale Kisutu, nilikuwa napiga watu mikwala kama hii..

Wewe utanitisha mimi wakati afya yako mtihani miguu yote imemalizwa na Sotoka
 
Kwa Kiingereza huniwezi hata ukichakachuwa, upo out of context, weka kitu kamili, kinaeleweka kabisa. Labda nikupe darsa kuhusu Kiingereza; nilikuwa nafundisha Kiingereza Uingereza, upo hapo ulipo?

FaizaFoxy~1=Magwanda~100
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…