Rais Wallace Karia namfananisha na FBI agent aliyepandikizwa FIFA ,TFF ya sasa haina masihara ujanja ujanja hautokuwepo

son of a teacher

JF-Expert Member
Jul 30, 2017
401
1,000
Najawa na imani na Rais wa Tff ndugu Wallace Karia ,hakika Tff ya sasa itakuwa na nidhamu .

1.Kipindi Karia akiwa makamu wa rais wa Tff alikuwa na mahusiano mabaya na rais wa wakati huo Jamal Malinzi na katibu mkuu Mwesigwa mpaka ilifika hatua kwa miezi hawazungumzi na haya yote tulielezwa kwenye vyombo vya habari na wao wenyewe walisema nakumbuka Bwana Karia aliulizwa na mwandishi wa efm kuhusu rais wake alijibu kwa miezi hawajazungumza na wala kupigiana simu japo wakiwa ofisi moja na sababu ilikuwa kutofautiana ki-uongozi taarifa muhimu walikuwa wanapeana kwa njia ya e mail .

Mwisho wa siku bwana Malinzi na mwesigwa wakashitakiwa kwa uhujumu uchumi na ubadhilifu wa mali za TFF bila kupepesa macho ni Wallace Karia ndiye alifichua uozo huo .

Leo taarifa zinasema Bwana Wambura makamu rais wa Tff amekutwa na kashfa 3 na kamati ya Tff ipo kwenye kikao kumjadili

Bwana Karia ni kama agent namfananisha na FBI agents Jared Randall na John Penza waliopandikizwa FIFA na wakaibua skendo ya Blatter na hatimaye kuangusha utawala uliojikita mizizi ya Blatter.

Karia ni kama pandikizi amefanya kazi serikalini muda mrefu na ndio maana kwenye uchaguzi alishinda kwa 95% na alipata sapoti na mkono wa kulia

Watumishi wa TFF kuweni makini ohoo mtapotea
 
Iceman 3D

JF-Expert Member
Sep 3, 2016
20,626
2,000
Kama anayo yafanya yata tusaidia tu qualify kombe at least la Afcon ntamuona wa maana.
Ila otherwise he is just Malinzi 2.0
 
Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
46,493
2,000
Najawa na imani na Rais wa Tff ndugu Wallace Karia ,hakika Tff ya sasa itakuwa na nidhamu .

1.Kipindi Karia akiwa makamu wa rais wa Tff alikuwa na mahusiano mabaya na rais wa wakati huo Jamal Malinzi na katibu mkuu Mwesigwa mpaka ilifika hatua kwa miezi hawazungumzi na haya yote tulielezwa kwenye vyombo vya habari na wao wenyewe walisema nakumbuka Bwana Karia aliulizwa na mwandishi wa efm kuhusu rais wake alijibu kwa miezi hawajazungumza na wala kupigiana simu japo wakiwa ofisi moja na sababu ilikuwa kutofautiana ki-uongozi taarifa muhimu walikuwa wanapeana kwa njia ya e mail .

Mwisho wa siku bwana Malinzi na mwesigwa wakashitakiwa kwa uhujumu uchumi na ubadhilifu wa mali za TFF bila kupepesa macho ni Wallace Karia ndiye alifichua uozo huo .

Leo taarifa zinasema Bwana Wambura makamu rais wa Tff amekutwa na kashfa 3 na kamati ya Tff ipo kwenye kikao kumjadili

Bwana Karia ni kama agent namfananisha na FBI agents Jared Randall na John Penza waliopandikizwa FIFA na wakaibua skendo ya Blatter na hatimaye kuangusha utawala uliojikita mizizi ya Blatter.

Karia ni kama pandikizi amefanya kazi serikalini muda mrefu na ndio maana kwenye uchaguzi alishinda kwa 95% na alipata sapoti na mkono wa kulia

Watumishi wa TFF kuweni makini ohoo mtapotea
MWIZIMWENZIO KAKAMATWA AMA NN

KAMA ANATUJUZA WABADHIRIFU ULITAKA

TUENDELEE KUPIGWA NA HAOO WAHUNI

KAMA NI MSAFI WAMBURA KWANINI WAFANYAKAZI WAMWOGOPE KARIA KWANINI WAKAE NAE MBALI ....MTAKE RADHI KARIA MICHEZO YENU IMEJULIKANA TUNADKA MMOJA MMOJA
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom