Rais wa Zanzibar Shein aendelea kuzindua miradi

Rais wa Zanzibar Shein aendelea kuzindua miradi

Ha ha ha haaaaa.... dANGANYIKA... Hii nchi ni kama vile yakusadikika tu, ni kama tuangalia movie flani hivi ambayo mwisho wake maraia wa tabaka la chini walikuja kuishi maisha raha mustarehe..!!!
 
@#$! Zao acha wanganganie madaraka tu ila biology itawaondoaa tu
 
Rubbing it in ,is it?

==========

attachment.php

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi wa mamlaka ya Mji Mkongwe wa Zanzibar Nd,Mussa Awesu Bakari wakati alipokuwa akiangalia ramani ya Mradi wa ujenzi wa Ukuta wa Forodhani Mjini Unguja leo akiwa katika ziara maalum ya kutembelea maendeleo ya Miradi mbali mbali Mjini

attachment.php

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akimuuliza suala Kaimu Mkurugenzi wa mamlaka ya Mji Mkongwe wa Zanzibar Nd,Mussa Awesu Bakari wakati alipokuwa akiangalia Mradi wa ujenzi wa Ukuta wa Forodhani Mjini Unguja leo akiwa katika ziara maalum ya kutembelea maendeleo ya Miradi mbali mbali Mjini

attachment.php

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akipata maelezo ya ramani ya ujenzi wa Mtaro wa maji ya Mvua katika viwanja wa mnazi mmoja kutoka kwa Mhandisi wa Manispaa ya Zanzibar Mzee Khamis Juma wakati alipotembelea mradi huo wa ujenzi unaojengwa na kampuni ya CRJ kutoka China

Chanzo: zanzinews.com
 
Attachments

  • sh 1.jpg
    sh 1.jpg
    8.9 KB · Views: 583
  • sh 2.jpg
    sh 2.jpg
    7.4 KB · Views: 591
  • sh 3.jpg
    sh 3.jpg
    9.2 KB · Views: 580
Katiba inamtambua.una swali jingne mleta mada?
 
Katiba inamtambua.una swali jingne mleta mada?

"We have always been a colony of Tanganyika under the guise of "democracy". Now that their so-called democracy no longer works they are showing their true colours - military occupation and the de-facto suspension of the Constitution."

- Mohammed H. Ismail, 22 Nov. 2015.
 
wewe peleka hizo itikadi zako za kigaidi huko huko yemen kwa magaid wenzio.
 
wewe peleka hizo itikadi zako za kigaidi huko huko yemen kwa magaid wenzio.

ukweli unauma, message umeipata

MAGAIDI NI NANI SIKILIZA HAPA

Last edited by a moderator:
"We have always been a colony of Tanganyika under the guise of "democracy". Now that their so-called democracy no longer works they are showing their true colours - military occupation and the de-facto suspension of the Constitution."

- Mohammed H. Ismail, 22 Nov. 2015.

HII IMEKAA MWIBA SANAA KWA WAKIMBIA UKWELI Gavana
 
Pride never takes anyone far. Humility is a true strength capable of moving mountains.
 
Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein, amelitaka Baraza la Manispaa Zanzibar kuimarisha shughuli za usafi wa mazingira, pamoja na kudhibiti mifungo kuingia katikati ya mji huo.

Dk Shein alitoa agizo hilo alipokuwa katika ziara ya kukagua miradi ya ujenzi inayogharamiwa kwa mkopo wa Benki ya Dunia ukiwamo ujenzi wa ukuta wa ufukwe wa Forodhani na mtaro wa maji machafu katika eneo la Mnazi Mmoja, Zanzibar jana.

Alisema wakati Zanzibar ikiwa katika mchakato wa kufikia sifa za kuwa jiji, lazima Baraza la Manispaa liongeze kasi ya usafi ikiwamo uhifadhi wa mazingira ya mji pamoja na udhibiti wa majitaka visiwani humo.

Alisema haitoi picha nzuri kuona mifugo bado inaonekana ikiranda mitaani wakati watendaji wametakiwa kuondoa tatizo hilo kwa muda mrefu sasa bila ya utekelezaji kuonekana.

"Lazima tuongeze jitihada za usafi wakati huu tukiwa katika kuelekea kufikia sifa na vigezo vya Zanzibar kuwa jiji," alisema.
Rais Dk. Shein alisema mradi wa kuboresha mji wa Zanzibar unaofadhiliwa na mkopo kutoka Benki ya Dunia una umuhimu mkubwa katika kuimarisha shughuli za usafi katika manispaa ya mji huo na miji ya Chakechake na Wete, Pemba.

Aliwataka watendaji kuhakikisha miradi hiyo inakuwa endelevu ili lengo lake liweze kuonekana la kuleta mabadiliko makubwa ya usafi wa mji huo.

CHANZO:Nipashe

Back
Top Bottom