Rais wa Zanzibar avunja bodi ya Shirika la Uvuvi Znz -ZAFICO

BARA BARA YA 5

JF-Expert Member
Sep 11, 2009
1,127
734
Nakupongeza Dr Mwinnyi kwa kupambania Uchumi wa Buluu,inawezekana hii bodi imeshindwa kusimamia Menejimenti.ndio maana na.DG ulimuondoa.
Nchi hii inataka maamuzi magumu.
 
Nakupongeza Dr Mwinnyi kwa kupambania Uchumi wa Buluu,inawezekana hii bodi imeshindwa kusimamia Menejimenti.ndio maana na.DG ulimuondoa.
Nchi hii inataka maamuzi magumu.View attachment 1900137
Maboti ya wajapani jina la mswahili, badala ya kulipia usd laki moja wajapan waligeuza shamba la bibi, same as ilivyokuwa kwenye Madini. Wajingaaaa ndiyooo watabaki kudharauu Kazi ya kupambania uchumi inayofanywaa Na Mwinyi kama ilivyokuwa kwa Dkt JPM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…