Rais wa Zanzibar arejea nchini akitokea Djibouti

TAWA

JF-Expert Member
Jun 23, 2013
3,673
1,571
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mh. Shein amerejea nchini leo akitokea nchini Djibouti alipokuwa na ziara ya kikazi nchini humo.

Pia alipowasili uwanja wa ndege wa Zanzibar aliweza kujibu maswali ya waandishi wa habari ikiwemo suala la mafuriko linaloikabili nchi hiyo kwa sasa.

Source: Chanel ten Habari
 
Kipi alichojifunza huko djibout ambacho kinaweza kuisaidia Zanzibar..?? Kifupi ziara hiyo italeta manufaa gani kwa wazanzibar??
 
Ulaya na marekani atazisikia tu kwenye radio kama jecha anavyozisikia
Hahahaha jidanganye hivyo hivyo.. na jambo usilolijua.. mwaka jana alikuwa UK kwa wiki 2.. na maghufuli na yeye anaisikia radioni tu kama shein..Na kitu chengine Shein kwenda ulaya siyo big deal kama wewe kwani masomo yake yote amechukua USSR na UK ambako amemalizia Phd.. sasa weww mwenzetu vp?
 
Mimi sijasoma lakini pia sijadhulumu wala kupora haki za wananchi
 
Back
Top Bottom