Rais wa Yanga Eng. Hersi: Kama kuna jambo silipendi ni kuifunga Simba

Rais wa Yanga Eng. Hersi: Kama kuna jambo silipendi ni kuifunga Simba

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said, amesema "Kama kuna jambo silipendi, ni kutoa furaha za watu. Najua kuna ndugu zangu ambao ni Simba na mimi ni Yanga. Bahati mbaya taasisi ambayo naishughulikia ni taasisi inayotaka matokeo, na kwa sababu ya ‘nature’ ya taasisi unalazimika kutafuta matokeo. Kwa hiyo mimi sifurahii kuwafunga Simba isipokuwa natekeleza wajibu wangu kama Mwenyekiti wa Young Africans."

1753781951493.png
 
Oscar Seleman vipi unalingana kimaisha na Eng. Hersi au unamdharau kwenye keyboard?

Mimi nakufahamu vizuri sana.
Oscar Seleman ndio nani naona mara kadhaa umenikomalia na hilo jina japo nimekuwa nakupuuza kwasababu najua haupo serious
 
Kwamba ndio kusema Shafii Dauda anakubalika sana kuliko Eng?


1753787664515.png
 
Atabakia Yanga ili aendelee kuwakosesha furaha Makolo
Alivyosikia tetesi MO kamuachia Fadlu password za Bank jamaa yenu alitaka kukimbia aibu ambayo inakuja kuwakabili ionekane ni kwasababu yeye amepata majukumu mengine

Wajumbe wakam
1753788299893.png
 
Back
Top Bottom