kupe
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 1,036
- 330
Hivi hawa Latra kwanini wanakataa kutoa vibali vya muda kusafirisha abiria kwa ma. Bus yaliyokuwa yanasafirisha wanafunzi ikiwa shule zimefungwa . Kuna tatizo gani. Maana kwanza serikali utapata hela halal kwa watakaoomba hivyo vibali. Pia itaondoa usumbufu wa abiria hasa mida ya asubuhi na jioni. Pia itawasaidia wenye magari kulipa mikopo yao maana wengine hayo magari wamekopa na pia wanatakiwa kulipa kodi. Latra iache urasimu maana wananyima. Vibali. Halafu magari yakibeba abiria wanayavizia na kuchukua rushwa au kuyapiga faini nyingi sana. Rais hebu iangalie hii management ya Latra. Hivi kazi yao ni kukamata magari tu au