Rais Wa Wanyonge Akipata Dafu Pamoja Na Wanyonge

Rais Wa Wanyonge Akipata Dafu Pamoja Na Wanyonge

Kama ungekupo ungepata kitu cha kujifunza, hayo madafu yalivyogombaniwa yanahashiria watu mchana hawakula na pesa ya kula hawana, watu wananjaa sana maisha ni magumu sana, tanzania ya jiwe watanzania wanagombea madafu,inatia uchungu sana
Una uhakika boss?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dalili ya kupagawa na lissu ni pamoja na hiii ya kula-kula ovyo barabarani
Unaongea utani au unamaanisha?. Yule ni mwanasiasa, ni lazima ajue kujishusha, kumbuka huyo muuza madafu ni mpiga kura mwakani. Kumbuka kuwa hao wauza madafu wanamuona rais ni mtu anayewaunga mkono.

Alichokifanya rais hapo kwa muuza madafu, kinaweza kueleweka kwa watu wenye kuzijua siasa za vitendo kuliko za Lissu ambazo ni za bungeni na kwenye sakafu za mahakamani.
 
tumechoka na masinema yake
hayana tija kwa taifa
ashughulike na mambo ya muhimu raisi
kununua madafu hakumfanyi awe rais bora
shughulikia uchumi nchi inaangamia mkuu madafu hayawezi kuokoa jahazi
 
tumechoka na masinema yake
hayana tija kwa taifa
ashughulike na mambo ya muhimu raisi
kununua madafu hakumfanyi awe rais bora
shughulikia uchumi nchi inaangamia mkuu madafu hayawezi kuokoa jahazi
Uchumi wa Tanzania unakuwa kwa asilimia ngapi?
 
Back
Top Bottom