Rais wa vyama vya wafanyakazi apendekeza mifuko ya jamii ipunguzwe

kichwabox

Senior Member
Feb 14, 2016
152
40
Rais wa vyama vya wafanyakazi apendekeza mifuko ya jamii ipunguzwe katika hotuba aliyomkabidhi rais Magufuli na rais akaahidi kuifanyia kazi mifuko kama PPF,LAPF,NSSF,GEPF PSPF na NHIF.

sasa sijui watumishi tutaenda wapi!
 
Back
Top Bottom