Sasa kujiapisha ndio kwamba rais kaondolewa kwa hio pale kenya wakati odinga alijiapisha kenyata alikua kaondolewa?Mpinzani nchini Venezuela ajiapisha kuwa Rais na amepata sapoti ya Marekani na Canada
Avertissement de redirection
Sent using Jamii Forums mobile app
huyo mpinzani atachunwa ngozi akiwa hai, kile ni kichwa cha mwendawazimu
Kawafukuza Diplomats wote kutoka Marekani na kawapa 72 hrsMaduro is done. Asije ishia pabaya tu.
All strong economies in the Americas wamempa mgongo, na kumkaribisha Juan.
White house nao wanakazia..
"US officials made clear that the White House was focused on economic measures and would look at ways to transfer Venezuelan assets and oil revenues to Guaidó and the opposition-run national assembly.."
Kawafukuza Diplomats wote kutoka Marekani na kawapa 72 hrs
Wamarekani wamesema hawataondoka na watajilinda wao na watu wao.....
Senetors wamemkubali aliyejiapisha
Aliyejiapisha kasema kuwa hatakiwi mtu kuondoka wote wakae hapo hapo. ....
Maduro keshawekwa kati CIA washacheza mchezo
Hadi Putin afike maidia keshaisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka Diplomats wamemgomea!
Sijui kwa nini haachii aka enjoy alivyochuma kwa amani.
Huyu mpinzani wake kwa hii jeuri, inaonekana support yake sio cha mtoto.
Kwa kweli, hii timing ya Putin kutia neno sasa inaonekana kama late.
acha kufananaisha siasa za Venezuela an vijiinchi vya ajabu ajabu, hata kulinda raia zake tu dhidi ya wanamgambo ni shidaSasa kujiapisha ndio kwamba rais kaondolewa kwa hio pale kenya wakati odinga alijiapisha kenyata alikua kaondolewa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa aliyeharibu nchi hapo ni maduro au USA,watanzania nyie watu wa ajabu mataifa ya ulaya yakisema kitu juu ya Tanzania utasikia mataifa ya kibeberu yatuache ktk mambo yetu but wao mabeberu wakifanya kwenye nchi nyingine basi mabeberu wanakuwa malaikaHuyo Maduro aondolewe tu ameiharibu sana hiyo nchi halafu ni kibaraka wa Russia. Kumbe viongozi wengi ktk Latin America hawamtaki.!