Sema we jamaa na hizi mada zako za Israel, duuh! Huchoki???
Is it personal? Ni nini hasa, mbona ni kama una mahaba makubwa sana na hao watu ndugu, shida ni nini hasa??Hao ni watu tu kama walivyo wasukuma, Wajita, Wakikuyu n.k.Usiwe na kihoro juu yao
Kuna watu humu wamekuwa wakiishabikia sana Iran lakini hatujaona ukiwashangaa hali inayoonyesha jinsi hata na wewe ulivyo na udini.Sema we jamaa na hizi mada zako za Israel, duuh! Huchoki???
Is it personal? Ni nini hasa, mbona ni kama una mahaba makubwa sana na hao watu ndugu, shida ni nini hasa??Hao ni watu tu kama walivyo wasukuma, Wajita, Wakikuyu n.k.Usiwe na kihoro juu yao
Nimesema hapa mara kibao wakimalizana na Iran watahamia uturuki. Waarabu wasipoamka na kuungana kumpiga huyu myahudi watamalizwa mmoja mmoja. Hata hao saudia wanachekewa tu sahivi ila watakuja kugeukwa huko hawataamini kitakachowakuta.Chini ya uongozi wangu, Israeli itaendelea kupigana dhidi ya utawala wa kigaidi wa Iran na washirika wake, tofauti na Erdogan ambaye huwasaidia na hata kuwaua raia wake wa Kikurdi.
Magaidi gani? Israel mbona ina support vikundi vya kigaidi kama RSF, Somaliland, ISIS, YPG, HTS, PKK? Acheni propaganda.Turkey ni takataka nyingine erdogan ndio anafuga magaidi.
Hiyo nchi imeingia euro juzi tu na wanasaidiwa bahati yao yote
Sishangai wakilaumu Iran kupigwa.
Udini umeingiaje, mbona jamaa hajataja dini kabisa? Kashangaa obsession ya mtoa mada. Wewe ndio unaingiza udini haswaa.Kuna watu humu wamekuwa wakiishabikia sana Iran lakini hatujaona ukiwashangaa hali inayoonyesha jinsi hata na wewe ulivyo na udini.
Ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni.
We mpuuzi kweli hujui Israel ndio ilikua inasupport hao wakurdi kumpiga Erdoğan au hujui PKK na YPG na SDF vyote vinafadhiliwa na Israel?Ni upuuzi mkubwa ulioje. Mwanachama wa Muslim Brotherhood, mtu ambaye amewaua Wakurdi kwa mauaji ya halaiki, anaishutumu Israeli - ambayo inajilinda dhidi ya washirika wake katika Hamas - kwa mauaji ya halaiki.
Turkey kaingizwa NATO juzi tu miaka mitatu iliyopita.Magaidi gani? Israel mbona ina support vikundi vya kigaidi kama RSF, Somaliland, ISIS, YPG, HTS, PKK? Acheni propaganda.
Na Israel hawezi mvamia Turkey ni NATO wanaweza potezwa ndani ya siku moja tu.
Punguza utoto, nani aliyekwambia kila anayepinga Israel ni Hussein? Mimi mkristo tena wa FPCT ila sikubaliani na huo utapeli wa Israel.Halafu wewe km ni Hussein usiongee na mimi maana ni wale wale.
Mbona Israel ilikua inapokea wapoganaji wa ISIS, HTS na Al nussra front wakitekeleza mauaji Syria wanakimbilia Golant heights kupewa matibabu. Kwahiyo Israel pia imefuga magaidi wengi so Acha unafikiWamefanya uhalifu Europa wanaenda hapo Turkey wanatulia na kutumia pesa.
Na kurudi tena kufanya upuuzi uleule
Ina haki sawa na waliojiunga 1950s!!Turkey kaingizwa NATO juzi tu miaka mitatu iliyopita.
Mimi naishi huku unataka nisipngee ili iweje? Au hutaki niseme ukweli??Sema we jamaa na hizi mada zako za Israel, duuh! Huchoki???
Is it personal? Ni nini hasa, mbona ni kama una mahaba makubwa sana na hao watu ndugu, shida ni nini hasa??Hao ni watu tu kama walivyo wasukuma, Wajita, Wakikuyu n.k.Usiwe na kihoro juu yao
Mkuu Somali land ni magaid?Magaidi gani? Israel mbona ina support vikundi vya kigaidi kama RSF, Somaliland, ISIS, YPG, HTS, PKK? Acheni propaganda.
Na Israel hawezi mvamia Turkey ni NATO wanaweza potezwa ndani ya siku moja tu.
● Rais wa Uturuki Erdogan:
Je, kuanzisha adhabu ya kifo si kwa wafungwa wa Palestina pekee kimsingi ni ubaguzi wa rangi? Je, si kutumia sheria kama chombo cha ubabe wa kibaguzi? Je, kimsingi kuna tofauti yoyote halisi kati ya sera mbaya za Hitler dhidi ya Wayahudi na uamuzi uliochukuliwa na bunge la Israeli kwa hisia kama hiyo ya ushindi?
Je, vitendo hivi vyote si dhihirisho lingine la kukataa, uharibifu, ukandamizaji, na ukandamizaji wa kisiasa unaoelekezwa kwa watu wa Palestina. Bila shaka, vitendo hivi ni ubaguzi na ubaguzi wa rangi. Ingemaanisha kutekeleza mfumo mbaya zaidi kuliko utawala wa kibaguzi uliovunjwa Afrika Kusini mwaka wa 1994.
● Waziri Mkuu wa Israeli Bejamin Netanyahu:
Chini ya uongozi wangu, Israeli itaendelea kupigana dhidi ya utawala wa kigaidi wa Iran na washirika wake, tofauti na Erdogan ambaye huwasaidia na hata kuwaua raia wake wa Kikurdi.
● Waziri wa Ulinzi wa Israeli, Israel Katz:
Rais wa Uturuki Erdogan, baada ya kujifunua kuwa simbamarara wa karatasi kwa kushindwa kujibu makombora yaliyorushwa kutoka Iran hadi ardhini mwa Uturuki, sasa anatumia chuki dhidi ya Wayahudi na kutangaza mashtaka ya uwongo nchini Uturuki dhidi ya uongozi wa kisiasa na kijeshi wa Israeli.
Ni upuuzi mkubwa ulioje. Mwanachama wa Muslim Brotherhood, mtu ambaye amewaua Wakurdi kwa mauaji ya halaiki, anaishutumu Israeli - ambayo inajilinda dhidi ya washirika wake katika Hamas - kwa mauaji ya halaiki.
Israel itaendelea kujilinda kwa nguvu na azimio - na itakuwa bora kwa Erdoğan kukaa kimya na kukaa kimya.
Ndio kujitenga kutoka serikali kuu na kujitangazia taifa kupitia kikundi cha SNM kutoka Ukoo wa Isaaq kiliitwa kikundi cha kigaidi maana kilipigana na serikali ili kujitawala.Mkuu Somali land ni magaid?