The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,355
- 17,321
Kwa maelezo ya bwana Durterte ni kwamba wanapigwa miti. Anasisitiza kua anawajua wengi tu wanaopigwa miti ila hawaweki wazi kwa kua kanisa linakataza.
Huyo bwana ana akili nzuri kweli?Ni mzima kichwani?Kwa maelezo ya bwana Durterte ni kwamba wanapigwa miti. Anasisitiza kua anawajua wengi tu wanaopigwa miti ila hawaweki wazi kwa kua kanisa linakataza.
HahaaKwa maelezo ya bwana Durterte ni kwamba wanapigwa miti. Anasisitiza kua anawajua wengi tu wanaopigwa miti ila hawaweki wazi kwa kua kanisa linakataza.
Hahaha kwahiyo ulitaka wajitangaze !!?Ni kweli ndugu yangu lakini wanachokosea mapadri kwanini wawe mashoga wa kisirisiri?