moto ya mbongo
JF-Expert Member
- Sep 9, 2009
- 496
- 371
WADAU INAVYOONEKA MKUU HANA SAUTI KABISA KUHUSU MALALAMIKO YA WTZ KUHUSU HII KAMPUNI HARAMU YA DOWANS
Imekaaje hii jamani?
Nawasilisha.
Imekaaje hii jamani?
Nawasilisha.
Mh,Jakaya Mrisho Kikwete,kuhusu kukaa kimya sijui sababu zake kwa kweli
Mh,Jakaya Mrisho Kikwete,kuhusu kukaa kimya sijui sababu zake kwa kweli
kama vp tuingie barabarani,refa Monchuari machizi SegereaLakini washa na huyu mbunge wa Igunga mbona anaonekana kuongoza nchi kwa remote control? Hasa pale anaposimama na kutetea malipo dhuluma kwa walipa kodi wa tz?
Lakini washa na huyu mbunge wa Igunga mbona anaonekana kuongoza nchi kwa remote control? Hasa pale anaposimama na kutetea malipo dhuluma kwa walipa kodi wa tz?
Anamalizia kipindi chake cha uongozi msimdisturb mhe.rahis,atafanyaje kazi zoote zile wakati baraza la mawaziri mwalijua? Anafanya kazi bwana.
simpendi huyo kiumbe natamani ningekuwa na uwezo ningemrudisha kwao na kizazi chake chote kilichoko hapa
ni Rostam Aziz, JK pambo tu, gheresha flani, ndo mana ye kila saa kukenuakenua tu
simpendi huyo kiumbe natamani ningekuwa na uwezo ningemrudisha kwao na kizazi chake chote kilichoko hapa