ndio! Apewe ulinzi na yeye atawapa mafuta ! Bunduki kwa mafuta!Baada ya kuanzisha rasmi ofisi za kibalozi hatimaye rais wa Sudan kusin Bw. Salva Kiir amefanya ziara rasmi nchini Israel ambapo amekutana na viongozi wa Israel akiwemo Rais Shimon Perez, Waziri Mkuu Binyamin Netanyahu, Waziri wa Ulinzi Ehud Barak na Waziri wa mambo ya nje Avigdor Lieberman.
Katika ziara hiyo inayoangaliwa na kufuatiliwa kwa karibu na mataifa ya kiarabu hususan yale ya Sudan na Egypt rais Kiir ameelezwa kufurahishwa kwake kwa kutembelea nchi hiyo ambapo amesema imekuwa furaha kubwa kwake kutembea kwenye nchi hiyo ya ahadi. Katika ziara hiyo rais Kiir alitembelea makumbusho ya mauji ya halaiki ya Yad Vashem akiwa ameambatana na Mbunge wa chama cha Likud Bw. Danny Danon.
Katika ziara hiyo Waziri Mkuu Netanyahu ametoa ahadi ya kusaidia kuijenga nchi hiyo husani kwa kusaidia kilimo, miundo mbinu na mawasiliano.
South Sudan president to meet wit... JPost - Diplomacy & Politics
South Sudans president, Salva Kiir, landed in important in Israel on Monday evening in his first official visit since his country gained independence six months ago.
Kiir was received by Deputy Foreign Minister Danny Ayalon, who told him that your choosing Israel as one of the first important]destinations to visit testifies to the deep friendship and the natural partnership between South Sudan and Israel.
View attachment 43869
President Salva Kiir and Israel Prime Minister Binyamin Netanyahu
allAfrica.com: South Sudan: President Kiir Concludes a Quick Visit to Israel
mbona tayari ushaumwaga!Kaa kimya utasikia Al shabab watakavyojitokeza na kumwaga utumbo humu. Stay tuned
atabarikiwa na taifa lake litabarikiwa kwani katembelea nchi ya ahadi ya mungu na taifa teule la mungu,bwana asema. "amebarikiwa aibarikie israel na amelaaniwa ailaanie israel km wafanyavyo waarabu na waislamu"
Haya mataifa mengine Mungu amemuachia nani ? Una uhakika kuwa Waarabu na Waislaam wameilaani ? Nani mwenye nguvu za kulaani Taifa ? Nani mwenye nguvu za kubariki Taifa ?atabarikiwa na taifa lake litabarikiwa kwani katembelea nchi ya ahadi ya mungu na taifa teule la mungu,bwana asema. "amebarikiwa aibarikie israel na amelaaniwa ailaanie israel km wafanyavyo waarabu na waislamu"
Ahhhhh, ahhh! unafikiri ni kwanin waarabu wameshindwa kuindoa Israel kwenye Ramani km wanavyoota kila siku? Mungu (Yehovah) yuko pamoja na Israel, ukubali au ukatae huo ndio ukweli. mwenye akili atakubali, mpumbafu atakataa.Haya mataifa mengine Mungu amemuachia nani ? Una uhakika kuwa Waarabu na Waislaam wameilaani ? Nani mwenye nguvu za kulaani Taifa ? Nani mwenye nguvu za kubariki Taifa ?
'' Na ikiwa Mwenyezi Mungu akikugusisha madhara, basi hapana wa kukuondolea hayo ila Yeye. Na ikiwa akikugusisha kheri, basi Yeye ndiye Mwenye uwezo wa kila kitu'' Quran: Al An'am 17. Haya subirini hizo baraka zao wajomba wa mungu uzipate nyie !
vichwa vyenu ni vigumu, mmekalia kuimba mapambio tuu, Mungu angewapa Tanzania yenye mito, mabonde, dhahabu, na sasa mafuta. Wamepewa shamba la kugombea !Ahhhhh, ahhh! unafikiri ni kwanin waarabu wameshindwa kuindoa Israel kwenye Ramani km wanavyoota kila siku? Mungu (Yehovah) yuko pamoja na Israel, ukubali au ukatae huo ndio ukweli. mwenye akili atakubali, mpumbafu atakataa.
vichwa vyenu ni vigumu, mmekalia kuimba mapambio tuu, Mungu angewapa Tanzania yenye mito, mabonde, dhahabu, na sasa mafuta. Wamepewa shamba la kugombea !
............. kuna maswali nimeuliza, kwa kihere here umeyakwepa, hebu jibu haya !Ahhhhh, ahhh! unafikiri ni kwanin waarabu wameshindwa kuindoa Israel kwenye Ramani km wanavyoota kila siku? Mungu (Yehovah) yuko pamoja na Israel, ukubali au ukatae huo ndio ukweli. mwenye akili atakubali, mpumbafu atakataa.
mbona tayari ushaumwaga!
............. kuna maswali nimeuliza, kwa kihere here umeyakwepa, hebu jibu haya !
1. Nani mwenye Mamlaka ya kulaani Taifa ?
2. Nani mwenye Mamlaka ya kubariki Taifa ?
3. Ili Taifa lilaaniwe, limekosea nini ?, na ili libarikiwe limepatia nini ?!
4. Mungu yupi unaemzungumzia hapa, ambaye yeye watu wake ni Waisraeli tu ?!