Rais wa Russia Vladimir Putin apinga North Korea kuwekewa vikwazo vipya

Putin ata km ameanza kaz kabla bibi yangu mzalia bibi aliemzaa bibi putin anabaki kuwa Coward tu.

Ni mnafiki.... nilitegemea putin atamdefend Syria dhidi ya uvamizi wa mabeberu wenzake lakini kamuacha mkono. Syria leo ipo chali kifo cha mende. Anaruhusu rafiki yake apigwe na mpinzani wake. Alitakiwa adefend na aoneshe msimamo wake. Yeye kutwa kutoa maneno tu. Kapewa kipaji cha matamko. Action hamna kitu. NK akivamiwa putin atatoa maneno tu na yeye na mchina wake. Communist nations zenyewe haziaminiani na hii ndio weakness yao.

USA anacheza kama pele, kwa silaha na tech alokuwa nayo jamaa ni rahisi kumvuruga NK. Kumbuka izo test za north korea zote zimekuwa detected, kwaio si kazi ngumu kwa USA kuzitungua kabla hazijafika ardhi yake. Lakini yeye hataki kuwa vitani peke ake akaingia hasara.

Kwanza anataka kufitunisha, ndio mana anamforce mchina kuweka vikwazo over Kim.
Pili anataka japa na Sk ndio waingie vitani dhidi ya North lkn na wao wajanja.

I will always congratulate kim for his bravery n belief but jamaa ni rahisi kwa usa kumvuruga
Hujui hata nini unaongea,, kama hujui kitu kaa kimya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu putin nae ni putout.... alisahau alipoambiwa akae pembeni watu wakaripue Syria? Asitushuhulishe mnafik namba 1 huyo.... yeye maneno tu.... vitendo sifuri... mikwala mingiii
hahahahaha putout??
 
Hujui hata nini unaongea,, kama hujui kitu kaa kimya

Sent using Jamii Forums mobile app
We unaejua kwanini usiongee basi tukaelewa? Zungumza facts na sio ushabiki. USA anatizama interests zake kwenye Korean Peninsula, unafikiri yule anaengia tu vitani? USA sehemu alikuwa hana maslahi napo hawezi kupatilia mkazi hata kama haki za binaadamu zinavunjwa kila siku.

Sasa kama KIM kidume basi aripue pale GUAM. Asijitie hamnazo, yeye na babake wamekuwa wakisema tu kama wanataka kuiripua USA, wafanye basi.

Kikinuka, Putin ataufyata kimya
 
That's why I said hujui vizuri source ya huu msuguano ,,,,nani kakwambia USA hana maslahi eneo lile? ,,,soma vizuri historical background ya NK kuhusu USA then utaelewa kwanini USA anasita kuishambulia NK ,then you have to understand NK hayuko weak kihivyo ...
 
Back
Top Bottom