‪Rais wa Nigeria, Muhammadu Buhari ampa heshima Maxence Melo wa JamiiForums kwenye mkutano wa AU‬

Kw hiyo km amempongeza?!! Tambua kuwa ubora wa jf,unategemea na umakini na ubora wa sheria za nchi na usimamizi bora wa vyombo vya hbr nchini.km jf ingeachwa na uhuru usiokuwa na mipaka.ikafanya mambo ya kipumbavu km mtoto asie na malezi,hata huko nje isingesifiwa.japo cna uhakika wa hicho ulichoandika.
 
Sheria bora zinazomrudisha melo mahakaman kila uchao? Hakuna sheria bora hapa labda sheria ngowi
 
mbona hata bak moon..aliwahi kuisifia jf?
hata kina
Macron
Netanyau
MBs
D.trump
Hawa ukitaka kutambua uwepo wao nenda jukwaa..la Kimataifa
kina
Kikwete
Membe
Jiwe
Bashite
Mr slim
Hawa wanapatikana jukwaa pendwa la siasa

Kina
Eistein na Newton
utawakuta intelligensia

so siwezi kukataaa
 
Hongera sana Maxence and your team. Taratibu "wenye nchi" wataelewa umuhimu wa freedom of speech iliyomo kwenye katiba yetu. Mnapitia magumu lakini vumilieni.
 
Back
Top Bottom