picha ya nani Biden au hewa ?Picha mkuu
picha ya nani Biden au hewa ?
Kuuza kama chuma chakavuKule Ukraine wakulima wanajinyakulia vifaru vya Warusi, sijui wanakwenda kuvitumia kwenye kufanyia kazi ipi
Sisi uku nchi inaendeshwa na mawazo ya mtu mmojaMzee kama huyu sidhani kama anaweza ku'make critical decisions in any way, bila shaka marekani inaendeshwa na vitengo na huyu mzee kazi yake ni kusaini tu.
Wewe ni kisogo kama jina lako😅😅picha ya nani Biden au hewa ?