Rais wa Malawi atangaza nchi kuwa katika hali ya dharura

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,292
Rais wa Malawi, Peter Mutharika, ametangaza nchi kuwa katika hali ya dharura baada ya mamilioni ya wananchi kukumbwa na janga la njaa lililosababishwa na ukame wa muda mrefu.
======================

Malawian President Peter Mutharika on Wednesday declared a state of national disaster due to food shortages caused by drought, in the latest sign of alarm over a hunger crisis across southern Africa.

Zimbabwe, Malawi, Mozambique and Zambia are all suffering food supply problems, while South Africa declared the recent drought its worst in at least 100 years. "I declare Malawi (in) a state of national disaster following prolonged dry spells during the 2015/16 agriculture season," Mutharika said in a statement.

"The projected drop in maize harvest is estimated at 12 percent from last year's output," he added. The World Food Programme said it was currently assisting nearly three million people in Malawi, with about 23 of 28 districts badly affected. "The current drought situation in Malawi came on the back of a bad crop last year, due to flooding which affected parts of the country," WFP's southern Africa spokesman David Orr told AFP.

In neighbouring Zimbabwe, 2.8 million people -- more than a quarter of the rural population -- do not have enough to eat. The WFP is currently providing assistance for about 730,000 people.


Source: Yahoo
 
Mmmh, pole sana, tutegemee wakimbizi au tukauze mahindi huko
 
poleni sana wamalawi na jirani akinyokewa wewe tia maji maana njaa inakwenda kuikumba dunia
 
Huyu jamaa bado yupo hai kumbe? Kuna mtu alisema angefarik sijui mwanzon mwa mwez huu
 
zimbabwe na malawi kuna njaa ya hatari bora zimbabwe ana majirani wenye neema botswana na South Africa kidogo chakula sio ishu sasa huyu mmalawi aisee ni shida tena ni muda naona kaona atangaze tu sasa..
 
Hii kitu huwezi kumweleza Trump akakuelewa aisee! Eti njaa? Dah! Ha ha ha! Why? Kwake sababu ni rahisi sana - "black people are not complete human beings".
 
Na
zimbabwe na malawi kuna njaa ya hatari bora zimbabwe ana majirani wenye neema botswana na South Africa kidogo chakula sio ishu sasa huyu mmalawi aisee ni shida tena ni muda naona kaona atangaze tu sasa..
Nadhan uko wrong katka nchi zote hapo mozambique imeshika kasi kwa sasa hivi.hii imechangiwa pia na vurugu zinazoendelea kati ya frelimo na renamo watu wanaogopa kwenda hata mashambani.pia rais nyusi alipoingia alivunja mikataba na makampuni mengi ya kigeni moja wapo ikiwa anadarko inahusika na gesi, hii imepelekea nchi kukosa pesa za kigen hivyo dhaman ya pesa yao imeshuka yaan hata ukisema ufanye importation ya chakula inakula kwako.
 
Alafu tunaambiwa kuwa mazao yanayolimwa kusini hayana soko la uhakika ( yanajiharibikia wakati tukiendelea kukisubiri kiwanda kwa hamu kwa hamu zote) huku hizo nchi zote zenye uhitaji wa chakula zimetuzunguka na sisi wenye mazao tumetulia tuliiiii tukisubiria waje wenyewe....

Hili baa ni fursa kwetu na wahanga tuwape pole kama desturi yetu waswahili
..mwenye macho na aone na mwenye masikio asikie
 
Poleni sana ndugu zetu wa malawi nakumbuka nilitoka malawi mwaka jana ila hali ilikua nzuri tofauti na sasa
 
concordile nipo wrong kwamba Malawi na Zimbabwe kuna njaa ya hatari unabishana na taharifa za maraisi wa izo Nchi walipotangazia umma au unanibishia mimi...
 
Hio si fursa mkuu... Nasikia hizi noti zetu kule kwa nikama dola..
 
mbeya si wanalima sana aisee , huu ndio muda wa ku export, serikali isilete figisu plz, haya ni maisha tunatafuta hela, kama serikali haiwezi kununua iwaachie wateja wengine plz, sarafu yetu ipande angalau kidogo
 
ziwa nyasa lina maji tele harafu wanalia ukame!! kweli in abundance of water the fool is thirsty.
 
Malawi imekumbwa na ukame sehemu za kusini mwa nchi hiyo sio karonga mbayo iko karibu na mbeya kuna neema tele ni sawa na hapa Tz watu wanakula viwavi kama huko dodoma lakini ukienda mbeya au songea na hata sumbawanga kuna chakula tele
 
Back
Top Bottom