under_score Senior Member Joined Nov 2, 2011 Posts 190 Reaction score 45 Mar 12, 2012 #1 Wakuu, Mimi huwa napata shida na jinsi huyu mkuu wa nchi anavyolitumia hili neno 'selathini" kumaanisha "thelathini", yaani (30), au wadau wa lugha nyi mnasemaje ... Nawasilisha.
Wakuu, Mimi huwa napata shida na jinsi huyu mkuu wa nchi anavyolitumia hili neno 'selathini" kumaanisha "thelathini", yaani (30), au wadau wa lugha nyi mnasemaje ... Nawasilisha.
OSOKONI JF-Expert Member Joined Oct 20, 2011 Posts 10,965 Reaction score 5,344 Mar 12, 2012 #2 kumbe unaelewa anamaanisha thelathini sasa unauliza nini tena?? kama huna hoja ya kuchamngamsha vichwa vyetu si uendelee kugida ugimbi tuu aisee
kumbe unaelewa anamaanisha thelathini sasa unauliza nini tena?? kama huna hoja ya kuchamngamsha vichwa vyetu si uendelee kugida ugimbi tuu aisee
Losambo JF-Expert Member Joined Nov 8, 2011 Posts 2,611 Reaction score 868 Mar 12, 2012 #3 OSOKONI said: kumbe unaelewa anamaanisha thelathini sasa unauliza nini tena?? kama huna hoja ya kuchamngamsha vichwa vyetu si uendelee kugida ugimbi tuu aisee Click to expand... Angekuwa Slaa ingekuwa issue ila kwa sababu ni ni mtu wa pwani ndiyo maana povu linakutoka.
OSOKONI said: kumbe unaelewa anamaanisha thelathini sasa unauliza nini tena?? kama huna hoja ya kuchamngamsha vichwa vyetu si uendelee kugida ugimbi tuu aisee Click to expand... Angekuwa Slaa ingekuwa issue ila kwa sababu ni ni mtu wa pwani ndiyo maana povu linakutoka.