Rais wa Iran Ahmadnijad avunja mwiko

Rais wa Iran Ahmadnijad avunja mwiko

Hio video hiyo siiamini, hata mimi naweza kuvaa ndevu ndefu na kakofia keusi na koti la nguvu nikaa mezani watu wakadhani ni myahudi....
 
Unataka kumaanisha nini, kwamba ukiona maadui wanaongea na kula meza moja basi si maadui?......! Unataka kusema Ahmadinejad ni rafiki wa Waisraeli kwa kutumia refference ya hiyo video ama? Funguka Zawadi Ngoda, unaonekana unaijua dunia kuliko hii post yako inavotaka kutulaghai!

Kweli unahitajika kurudi shule. Sijui nianzie wapi, ila ukweli ni kwamba bado uko nyuma sana katika ueleo wa mambo ya kimataifa.

Subiri nikujulishe kidogo; Leo hii kuna waisrael 3 wqapo jela marekani kwa kesi ya kuspy ndani ya sehemu nyeti za marekani. Hao ni marafiki wa damu. Ungelikuwa wewe ni Rais wa Marekani ungetuma f15 kupiga Tel aviv.

Hao ni marafiki au sio.
 
In asumption watanzania wote ni wazalendo...is it?.....ikitokea mtanzania kakiuka sheria asihukumiwe kwa mujibu wa sheria?!
Likiwise ilivyotokea kwa hao waisrael kufungwa na wamarekani!
 
In asumption watanzania wote ni wazalendo...is it?.....ikitokea mtanzania kakiuka sheria asihukumiwe kwa mujibu wa sheria?!
Likiwise ilivyotokea kwa hao waisrael kufungwa na wamarekani!

Ndugu yangu nisikilize vizuri. Hawa si wauza unga, bali ni agent wa serikali ya Israel waliutumwa na serikali au kifupi ni MOSAD waliofanya kazi kwa mission ya serikali ya Israel kama KGB wanavyoweza kufanya kazi kwa Urusi au CIA kwa marekani.

jadili kwa ufasaha ueleweke.
 
Kweli unahitajika kurudi shule. Sijui nianzie wapi, ila ukweli ni kwamba bado uko nyuma sana katika ueleo wa mambo ya kimataifa.

Subiri nikujulishe kidogo; Leo hii kuna waisrael 3 wqapo jela marekani kwa kesi ya kuspy ndani ya sehemu nyeti za marekani. Hao ni marafiki wa damu. Ungelikuwa wewe ni Rais wa Marekani ungetuma f15 kupiga Tel aviv.

Hao ni marafiki au sio.

Hahahaa, kweli nahitaji kwenda "shule" ili niweze kukuelewa, unaulizwa swali hili unajibu lile, katika post zote hakuna sehem uliyojadili na kujibu hoja, naona unatia ushabiki na mikogo isiyo maana! ..LOW!
 
Jibu hoja nikuelewe, kwani unachojaribu ni kuruka ruka tu.

Kama una hoja ya maana iweke barazani tuijadili, nimekuwekea ushahidi wa hoja kuu hata kuijadili umeshindwa sijui unataka nini.

Huu ni uwanja wa kimataifa kaka, si uwanja wa akina Slaa na Mbowe. Njoo mzima mzima tujadili hoja.
 
Iran ndo nchi ya kwanza mashariki ya kati kuwa na idadi kubwa ya wayahudi,na wanao uhuru wa kupiga kura na kupractise imani yao.kuna kipindi israel walitaka kuwapa mamilioni ya pesa ili waukane uraia wa iran na kurudi israel,waligoma.
Najad anachukia uzayoni na si kwamba anachukia wayahudi.wapo pia wayahudi wanaochukia uzayoni.jaribu kugoogle jews agaisnt zionism utajua kitu ninachokisema.

Waelimishe akina Mu Israel na Authentic waelewe. Wasipoelewa hiki ulichoandika, itabidi tuwarudishe ngumbaro.
 
Haya jisomee hii statement ya wayahudi.
The brutal and indiscriminately attack upon the people and infrastructure of lebanon by the zionist state of''israel'' is a crime agaisnt all basic standard of humanity.
The ideology of zionism and its establishment of the zion state conflict with the teaching of JUDAISM.
Zionism is the transformation from JUDAISM spirituality into materialism with nationalistic aspiration.
Theodar Herzl was the father of this relatively new ideology of zion(approximately 100 years old)which have taken the almight out of eguation.
Orthodox jew Demand end to zionist atrocities in middle east

Waelimishe hawa kwani hawajui tofauti kati ya Zionist ideology na idioloji ya Izrael kama nchi.

Ukitaka kuuelewa Zionism lielewe hili jina "Theodar Herzl".

Haya hiyo shule mpya, ndio raha ya kutembelea upande wa kimataifa.

Kuna watanzania wasioelewa tofauti kati ya CCM na Serikali, hivyo sioni ajabu kwa MuIsrael Na Authentic kutoelewa tofauti hiyo.
 
Pole sana Zawadi.
Kwa hiyo hapo kwenye mkutano huo alikanusha ile kauli yake ya kutaka kuifuta Israel kwenye uso wa dunia ??
Watu kama ninyi ndio mnaodanganyika kirahisi sana.
Hebu soma hapa, na kataa kudanganyika na video inayoonyesha wayahudi wawili !!!

Iranian general: Israel must be destroyed

Iranian officials toughen anti-Israel rhetoric ahead of Shiites' al-Quds Day. Meanwhile, families of slain scientists sue Israel.
An Iranian defense official said Wednesday that there is no other way but to destroy Israel, ahead of this week's al-Quds Day, Iran's ISNA news agency reported.

Gholam Reza Jalali, who heads an Iranian military unit in charge of fighting sabotage, said that al-Quds Day, which will be marked by Shiites around the world on Friday, "is an expression of the fact that there is no other way but to stand firm and resist until Israel is destroyed."

It should be noted that Iranian senior officials tend to employ even tougher rhetoric against Israel ahead of the last Friday of the Ramadan which falls on the global al-Quds day this year. Millions of Shiites in Iran, Pakistan, south Lebanon and Bahrain take to the streets that day to voice their outrage over Israeli "injustices" perpetrated against Palestinians.
============================== ============================== ============================

Iran can wipe out Israel: Defense minister
Amid Israel’s stepped up war rhetoric against Iran, Iranian Defense Minister Brigadier General Ahmad Vahidi says the Islamic Republic has enhanced its defensive military capabilities to an extent that it can obliterate the Israeli regime.

“The defense capability of the Islamic Iran against threats by the Zionist regime (Israel) has been developed to an extent that it will be able to wipe the [Israeli] regime off the scene,” Vahidi told IRNA on Wednesday.
He added that the Israeli regime is faced with numerous problems and is making efforts to cover up its domestic woes through the war rhetoric.​
The minister noted that Iran would unveil new indigenous military equipment in an attempt to display only part of its defense capabilities.

In recent years, Iran has made great achievements in the defense sector and gained self-sufficiency in essential military hardware and defense systems.

Soma zaidi hapa:
Iranian general: Israel must be destroyed - Israel News, Ynetnews
PressTV - Iran can wipe out Israel: Defense minister

Sikiliza dakika 3:40- 3:50 ya video. Muisrael analonga.

Last edited by a moderator:
Kweli unahitajika kurudi shule. Sijui nianzie wapi, ila ukweli ni kwamba bado uko nyuma sana katika ueleo wa mambo ya kimataifa.

Subiri nikujulishe kidogo; Leo hii kuna waisrael 3 wqapo jela marekani kwa kesi ya kuspy ndani ya sehemu nyeti za marekani. Hao ni marafiki wa damu. Ungelikuwa wewe ni Rais wa Marekani ungetuma f15 kupiga Tel aviv.

Hao ni marafiki au sio.

Last edited by a moderator:
Kama mmefanikiwa kuziangalia hizo video zilizoshushwa na Nonda mtakuwa mmepata elimu kubwa sana.

Asante sana Mwalimu Nonda endelea kuwaelimisha vijana wa magwanda.
 
Kama mmefanikiwa kuziangalia hizo video zilizoshushwa na Nonda mtakuwa mmepata elimu kubwa sana.

Asante sana Mwalimu Nonda endelea kuwaelimisha vijana wa magwanda.
Hiyo ni sifa ambayo hainistahiki,mkuu. Sisi ni wale wa elimu ya shule za kata.Elimu mkia wa mbuzi.

Nipatapo muda hupekua vipembe ,kudondoa habari ambazo main stream media huzificha ili kulinda makundi ya "wanywa damu". Najua kutokana na uzoefu kuwa wengi huishia na BBC, MSNBC, ABCnews, VOA na Hollywood films na hufikiri ukweli hupatika kupitia vyanzo hivyo tu.
Nikizishusha hapa ni kwa ajili ya ku-share ili mtu apate kuona upande mwingine wa story/masimulizi na baadae achanganye na zake.
 
Pole sana Zawadi.
Kwa hiyo hapo kwenye mkutano huo alikanusha ile kauli yake ya kutaka kuifuta Israel kwenye uso wa dunia ??
Watu kama ninyi ndio mnaodanganyika kirahisi sana.
Hebu soma hapa, na kataa kudanganyika na video inayoonyesha wayahudi wawili !!!

Iranian general: Israel must be destroyed

Gholam Reza Jalali, who heads an Iranian military unit in charge of fighting sabotage, said that al-Quds Day, which will be marked by Shiites around the world on Friday, "is an expression of the fact that there is no other way but to stand firm and resist until Israel is destroyed."

============================== ============================== ============================

Iran can wipe out Israel: Defense minister
Amid Israel’s stepped up war rhetoric against Iran, Iranian Defense Minister Brigadier General Ahmad Vahidi says the Islamic Republic has enhanced its defensive military capabilities to an extent that it can obliterate the Israeli regime.
Yupo huyu "jew/ yahudi" anasema msikilize..anasema nini?

Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom