Rais wa Iran Ahmadnijad avunja mwiko

Rais wa Iran Ahmadnijad avunja mwiko

Zawadi Ngoda

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2009
Posts
4,367
Reaction score
2,407
Siasa ni siasa, Kama ulikuwa unaamini kuwa Raisi wa Iran, Ahmadnijad, anawachukia wayahudi basi unajidanganya. Ushahidi wa Urafiki wa wawili hao unajidhihirisha katika video hii hapa chini, ifungue na ujionee mwenyewe wanavyokula sahani moja.

Ndugu zangu watanzania msipozifahamu siasa za kimataifa mtabaki mkibishana na kushikiana magongo bila kufahamu adui ni nani. Kueni, kueni ili muisaidie Tanzania.
 
Last edited by a moderator:

Umedanganywa na umedanganyika na video hiyo.
Hata wayahudi wapo ambao watakua upande wa adui.
Ahmadinejad alisema kuwa anataka kuifuta Israeli kwenye uso wa dunia.
Hebu fikiria katika azma yake hiyo ataua wayahudi wangapi ??
Usidanganyike na video inayoonyesha 'wayahudi' wawili wanaongea na Ahmadinejad.
Katika maisha, ogopa sana adui ambaye anakukaribia na kula na wewe meza moja !!
Adui wa namna hiyo ndio mbaya sana maana anajua siri zako zote.

Kwa wanaosoma Biblia watakumbuka kuwa Yesu alisalitiwa na Yuda ambaye alikua mtu wa karibu anayekula naye meza moja !!!
Upo hapo ???
Angalia picha hii ya 'maadui' wawili (Donald Rumsfeld na Saadam Hussein) wakisalimiana kwa kushikana mikono.
Na labda siku hiyo walikula chakula meza moja..!!!
rumsfeld-hussein-19_791932c.jpg
 
Wewe ndio huzijui siasa za kimataifa. Hiyo picha hapo juu ya Sadam ni sahihi kabisa. Pengine nikukumbushe kuwa Sadam amepigana na wairan huku akipata msaada asilimia mia 100 toka kwa marekani. Hivyo kuna kipindi Sadam alikuwa best wa Marekani. Ukilijua hilo utajisahihisha vizuri sana na utaielewa hiyo picha ya sadam na kuelewa turning point ilikuwa wapi.

Amkeni ndugu zanguni, kuchelewa kwenu kuielewa Dunia ndiko mnaichelewesha Tanzania.
 
Umedanganywa na umedanganyika na video hiyo.
Hata wayahudi wapo ambao watakua upande wa adui.
Ahmadinejad alisema kuwa anataka kuifuta Israeli kwenye uso wa dunia.
Hebu fikiria katika azma yake hiyo ataua wayahudi wangapi ??
Usidanganyike na video inayoonyesha 'wayahudi' wawili wanaongea na Ahmadinejad.
Katika maisha, ogopa sana adui ambaye anakukaribia na kula na wewe meza moja !!
Adui wa namna hiyo ndio mbaya sana maana anajua siri zako zote.

Kwa wanaosoma Biblia watakumbuka kuwa Yesu alisalitiwa na Yuda ambaye alikua mtu wa karibu anayekula naye meza moja !!!
Upo hapo ???
Angalia picha hii ya 'maadui' wawili (Donald Rumsfeld na Saadam Hussein) wakisalimiana kwa kushikana mikono.
Na labda siku hiyo walikula chakula meza moja..!!!
rumsfeld-hussein-19_791932c.jpg

Ukielewa nguvu ya kikundi cha wayahudi alichokutana nacho Ahmadinijad ndio utafumbuka macho na kuelewa kuwa si wayahudi wawili watatu bali nyuma yao ni kundi kubwa sana.

Kwa taarifa yako huo si mkutano wa kawaida, na kwa wayahudi wenye mtazamo tofauti na hao ni pigo kubwa kwao. Wewe endelea kufikiri ni kitu cha kawaida na kuwa hakina effect yeyote kwa Israel. Pole sana na Fumbuka macho na ubongo.
 
Iran ndo nchi ya kwanza mashariki ya kati kuwa na idadi kubwa ya wayahudi,na wanao uhuru wa kupiga kura na kupractise imani yao.kuna kipindi israel walitaka kuwapa mamilioni ya pesa ili waukane uraia wa iran na kurudi israel,waligoma.
Najad anachukia uzayoni na si kwamba anachukia wayahudi.wapo pia wayahudi wanaochukia uzayoni.jaribu kugoogle jews agaisnt zionism utajua kitu ninachokisema.
 
Siasa ni siasa, Kama ulikuwa unaamini kuwa Raisi wa Iran, Ahmadnijad, anawachukia wayahudi basi unajidanganya. Ushahidi wa Urafiki wa wawili hao unajidhihirisha katika video hii hapa chini, ifungue na ujionee mwenyewe wanavyokula sahani moja.

Ndugu zangu watanzania msipozifahamu siasa za kimataifa mtabaki mkibishana na kushikiana magongo bila kufahamu adui ni nani. Kueni, kueni ili muisaidie Tanzania.

Unataka kumaanisha nini, kwamba ukiona maadui wanaongea na kula meza moja basi si maadui?......! Unataka kusema Ahmadinejad ni rafiki wa Waisraeli kwa kutumia refference ya hiyo video ama? Funguka Zawadi Ngoda, unaonekana unaijua dunia kuliko hii post yako inavotaka kutulaghai!
 
Last edited by a moderator:
Ukielewa nguvu ya kikundi cha wayahudi alichokutana nacho Ahmadinijad ndio utafumbuka macho na kuelewa kuwa si wayahudi wawili watatu bali nyuma yao ni kundi kubwa sana.

Kwa taarifa yako huo si mkutano wa kawaida, na kwa wayahudi wenye mtazamo tofauti na hao ni pigo kubwa kwao. Wewe endelea kufikiri ni kitu cha kawaida na kuwa hakina effect yeyote kwa Israel. Pole sana na Fumbuka macho na ubongo.

Pole sana Zawadi.
Kwa hiyo hapo kwenye mkutano huo alikanusha ile kauli yake ya kutaka kuifuta Israel kwenye uso wa dunia ??
Watu kama ninyi ndio mnaodanganyika kirahisi sana.
Hebu soma hapa, na kataa kudanganyika na video inayoonyesha wayahudi wawili !!!

[h=1]Iranian general: Israel must be destroyed[/h] Iranian officials toughen anti-Israel rhetoric ahead of Shiites' al-Quds Day. Meanwhile, families of slain scientists sue Israel.
An Iranian defense official said Wednesday that there is no other way but to destroy Israel, ahead of this week's al-Quds Day, Iran's ISNA news agency reported.

Gholam Reza Jalali, who heads an Iranian military unit in charge of fighting sabotage, said that al-Quds Day, which will be marked by Shiites around the world on Friday, "is an expression of the fact that there is no other way but to stand firm and resist until Israel is destroyed."

It should be noted that Iranian senior officials tend to employ even tougher rhetoric against Israel ahead of the last Friday of the Ramadan which falls on the global al-Quds day this year. Millions of Shiites in Iran, Pakistan, south Lebanon and Bahrain take to the streets that day to voice their outrage over Israeli "injustices" perpetrated against Palestinians.
========================================================================================

Iran can wipe out Israel: Defense minister
Amid Israel's stepped up war rhetoric against Iran, Iranian Defense Minister Brigadier General Ahmad Vahidi says the Islamic Republic has enhanced its defensive military capabilities to an extent that it can obliterate the Israeli regime.

"The defense capability of the Islamic Iran against threats by the Zionist regime (Israel) has been developed to an extent that it will be able to wipe the [Israeli] regime off the scene," Vahidi told IRNA on Wednesday.

He added that the Israeli regime is faced with numerous problems and is making efforts to cover up its domestic woes through the war rhetoric.​
The minister noted that Iran would unveil new indigenous military equipment in an attempt to display only part of its defense capabilities.

In recent years, Iran has made great achievements in the defense sector and gained self-sufficiency in essential military hardware and defense systems.

Soma zaidi hapa:
Iranian general: Israel must be destroyed - Israel News, Ynetnews
PressTV - Iran can wipe out Israel: Defense minister
 
mkuu wewe siasa inakupa tabu, mnaweza kula na adui au kuishi nae chini ya roof moja miaka hata kumi lakini bado mkaendeleza tofauti zenu
 
Umedanganywa na umedanganyika na video hiyo.
Hata wayahudi wapo ambao watakua upande wa adui.
Ahmadinejad alisema kuwa anataka kuifuta Israeli kwenye uso wa dunia.
Hebu fikiria katika azma yake hiyo ataua wayahudi wangapi ??
Usidanganyike na video inayoonyesha 'wayahudi' wawili wanaongea na Ahmadinejad.
Katika maisha, ogopa sana adui ambaye anakukaribia na kula na wewe meza moja !!
Adui wa namna hiyo ndio mbaya sana maana anajua siri zako zote.

Kwa wanaosoma Biblia watakumbuka kuwa Yesu alisalitiwa na Yuda ambaye alikua mtu wa karibu anayekula naye meza moja !!!
Upo hapo ???
Angalia picha hii ya 'maadui' wawili (Donald Rumsfeld na Saadam Hussein) wakisalimiana kwa kushikana mikono.
Na labda siku hiyo walikula chakula meza moja..!!!
rumsfeld-hussein-19_791932c.jpg
sasa wewe ndo unauchungu na israel kuliko wao wenyewe.hilo tamko la Najad walimisguote na kwa malengo yao wakalikuza wakitumia media,sasa nawe mbongo umeshikia bango
 
Hapo kwenye blue,
Wata mis-quote mara ngapi ??
Tang mwaka 2005 Ahmadinejad anasisitiza kuwa Israel itaangamizwa.
Someni hapa muone wenyewe....

[h=1]In New York, defiant Ahmadinejad says Israel will be "eliminated"[/h] By Louis Charbonneau

NEW YORK | Mon Sep 24, 2012 7:54pm EDT

(Reuters) - Iranian President Mahmoud Ahmadinejad said on Monday Israel has no roots in the Middle East and would be "eliminated," ignoring a U.N. warning to avoid incendiary rhetoric ahead of the annual General Assembly session.

Ahmadinejad also said he did not take seriously the threat that Israel could launch a military strike on Iran's nuclear facilities, denied sending arms to Syria, and alluded to Iran's threats to the life of British author Salman Rushdie.

mention_en.png

The United States quickly dismissed the Iranian president's comments as "disgusting, offensive and outrageous."

Source: In New York, defiant Ahmadinejad says Israel will be eliminated | Reuters
 
Haya jisomee hii statement ya wayahudi.
The brutal and indiscriminately attack upon the people and infrastructure of lebanon by the zionist state of''israel'' is a crime agaisnt all basic standard of humanity.
The ideology of zionism and its establishment of the zion state conflict with the teaching of JUDAISM.
Zionism is the transformation from JUDAISM spirituality into materialism with nationalistic aspiration.
Theodar Herzl was the father of this relatively new ideology of zion(approximately 100 years old)which have taken the almight out of eguation.
Orthodox jew Demand end to zionist atrocities in middle east
 
Hapo kwenye blue,
Wata mis-quote mara ngapi ??
Tang mwaka 2005 Ahmadinejad anasisitiza kuwa Israel itaangamizwa.
Someni hapa muone wenyewe....

[h=1]In New York, defiant Ahmadinejad says Israel will be "eliminated"[/h] By Louis Charbonneau

NEW YORK | Mon Sep 24, 2012 7:54pm EDT

(Reuters) - Iranian President Mahmoud Ahmadinejad said on Monday Israel has no roots in the Middle East and would be "eliminated," ignoring a U.N. warning to avoid incendiary rhetoric ahead of the annual General Assembly session.

Ahmadinejad also said he did not take seriously the threat that Israel could launch a military strike on Iran's nuclear facilities, denied sending arms to Syria, and alluded to Iran's threats to the life of British author Salman Rushdie.

mention_en.png

The United States quickly dismissed the Iranian president's comments as "disgusting, offensive and outrageous."

Source: In New York, defiant Ahmadinejad says Israel will be eliminated | Reuters
ukweli ni kuwa hao zionist ndo huyo Najad alikua anaongelea lakini kwa sababu hao zionist wanacontrol media walipiga kampeni ili ionekane kuwa nejad yuko na mpango wa kuwafuta wayahudi kitu ambacho si ukweli.soma link niloweka hapo juu utagundua kuwa wapo pia wayahudi wako agaisnt zionism yakina netanyahoo isiyo na malengo ya kiimani bali materialism.

Huko iran kura za IRANIAN JEWS zilisaidia kumwigiza nejad kuwa rais.iran kuna hadi masinagogi ya wayahudi watu wanaabudu.
Please google,iranian jews.
Google hata jews agaisnt zionism ujisomee,achana na zionist controlled media,hao wako na agenda zao na wala hazihusiani na imani.wanatumia tu imani kufikia malengo yao.
 
Mimi naamini kuwa shrika la habari la PressTV halimilikiwi na Zionists.
Sasa hebu soma hapa kwenye PressTV ....
PressTV - Iran can wipe out Israel: Defense minister
 
Anti zionist orthodox jews did sponsor an urgent campaign to purchase ambulance for palestne Gaza.

ambulance3.jpg
 
Mimi naamini kuwa shrika la habari la PressTV halimilikiwi na Zionists.
Sasa hebu soma hapa kwenye PressTV ....
PressTV - Iran can wipe out Israel: Defense minister
israel imetishia kuvipiga mabomu vinu vya nuclear vya irani.hiyo manake ni kuwa iran na israel ziko katika uhasama na kama obama angekubali kupelekwapelekwa na netanyahoo si ajabu pangeshapiganwa vita.so katika hali hiyo matamshi kama hayo lazima yawepo,ukichukulia kuwa israel wako na nuclear unadhani ni kosa iran kujipiga kifua kuwa wataifuta israel?hata wewe ukiwa na bifu na mtu huwezi kumwambia,nitakuchanachana sasa hivi kama anazidi kukuchokonoa.?
 
Hebu angalia hii video ya cleric mmoja toka Misri..

Angalia kwa makini anavyosema kwenye dakika ya 2:14 mpaka dakika 2:24 utaona 'siri' .......................!!!

Ahmadinejad ana 'kazi' kubwa ya kuwamaliza wayahudi wote (wakiwemo wale wawili pale juu kabisa)...!!
Zawadi Ngoda upooo !!!

Islam: The Jews Are the Eternal Enemies of Muslims Regardless of the Occupation of Palestine - YouTube
 
Last edited by a moderator:
Unataka kumaanisha nini, kwamba ukiona maadui wanaongea na kula meza moja basi si maadui?......! Unataka kusema Ahmadinejad ni rafiki wa Waisraeli kwa kutumia refference ya hiyo video ama? Funguka Zawadi Ngoda, unaonekana unaijua dunia kuliko hii post yako inavotaka kutulaghai!

Kwa kuongezea hapo,....
Hebu someni article hii hapa chini...
Articles: Why Muslims Must Hate Jews
 
Hebu angalia hii video ya cleric mmoja toka Misri..

Angalia kwa makini anavyosema kwenye dakika ya 2:14 mpaka dakika 2:24 utaona 'siri' .......................!!!

Ahmadinejad ana 'kazi' kubwa ya kuwamaliza wayahudi wote (wakiwemo wale wawili pale juu kabisa)...!!
Zawadi Ngoda upooo !!!

Islam: The Jews Are the Eternal Enemies of Muslims Regardless of the Occupation of Palestine - YouTube
kila jamii iko na radical wake.ila najad alikua misguoted.

Israel deputy minister agree that ahmadnajad never said israel must be wiped off the map.

Hapo kuna hadi video ujihakikishie .
deputy minister Dan meridor
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom