Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,837
- 7,731
Shida inakuja pale ambapo 80% ya mawaziri wanatoka chama cha KABILA na 20% wanatoka chama cha TSHEKEDI..!! Wasije tu na mtazamo/mlengo wa kumkwamisha Mheshimiwa Rais,ngozi nyeusi haitabiriki!! Mose Katumbi nae aangaliwe kwa jicho pana!Baada ya ngoja ngoja ya muda mrefu hatimaye Rais Felix Tshekedi wa Congo DRC amemteua waziri mkuu mpya.
Waziri mkuu huyo ni professor Ilunga kutoka chama cha Rais Kabila chenye wabunge wengi.
Professor Ilunga ambaye hakutarajiwa kushika nafasi hiyo anapaswa kuunda serikali ambayo mawaziri 80% watakuwa kutoka muungano wa vyama vinavyomuunga mkono Kabila FCC. Chama cha Tshekedi kinatarajiwa kupata mawaziri asilimia 20 kwa kuwa kina idadi ndogo ya wabunge.
Pia mwanasiasa maarufu aliyehitilafiana na Kabila Moise Katumbi amerejea nchini Congo DRC Leo baada ya kuishi uhamishoni miaka mitatu. Kurejea kwake kunatarajiwa kubadilisha sura ya siasa za Congo na huenda akajumishwa serikalini.
Katumbi ndiye mmiliki wa timu ya Tupwiza Mazembe.
Shida ipo hapoShida inakuja pale ambapo 80% ya mawaziri wanatoka chama cha KABILA na 20% wanatoka chama cha TSHEKEDI..!! Wasije tu na mtazamo/mlengo wa kumkwamisha Mheshimiwa Rais,ngozi nyeusi haitabiriki!! Mose Katumbi nae aangaliwe kwa jicho pana!
Hili ni dili la kumlinda KabilaHuyu ni dhahiri hakushinda
Kiafrika,hao ni rahisi mno kununulika na TshekediShida inakuja pale ambapo 80% ya mawaziri wanatoka chama cha KABILA na 20% wanatoka chama cha TSHEKEDI..!! Wasije tu na mtazamo/mlengo wa kumkwamisha Mheshimiwa Rais,ngozi nyeusi haitabiriki!! Mose Katumbi nae aangaliwe kwa jicho pana!
Kiafrika,hao ni rahisi mno kununulika na Tshekedi
Labda nao wataunga mkono juhudi kama wakwetu...Shida inakuja pale ambapo 80% ya mawaziri wanatoka chama cha KABILA na 20% wanatoka chama cha TSHEKEDI..!! Wasije tu na mtazamo/mlengo wa kumkwamisha Mheshimiwa Rais,ngozi nyeusi haitabiriki!! Mose Katumbi nae aangaliwe kwa jicho pana!
Tena mnoooo.Kabila lazima apigwe mieleka tuu.Angalia wale walioimba kuwa wana imani na Lowasa,walikoishia.Watu kama akina Nchimbi.😂😂😂😂😂😂😂😂Hahahahahaha! Njaa mbaya!!!!
Kwa kuwa jeshi ni la Kabila hawana namna ,lazima watakuwa na nidhamu kwa Kabila;Kiafrika,hao ni rahisi mno kununulika na Tshekedi
Jeshi pia ni rahisi kuhongwa.Akiongeza tuu mpunga na kuwafanya wale majenerali waishi kama peponi,ujue Kabila kwisha habari yake.Kwa kuwa jeshi ni la Kabila hawana namna ,lazima watakuwa na nidhamu kwa Kabila;
Hahahaha. Moise Katumbi atadhibitiwa tu usijari MkuuShida inakuja pale ambapo 80% ya mawaziri wanatoka chama cha KABILA na 20% wanatoka chama cha TSHEKEDI..!! Wasije tu na mtazamo/mlengo wa kumkwamisha Mheshimiwa Rais,ngozi nyeusi haitabiriki!! Mose Katumbi nae aangaliwe kwa jicho pana!
Jeshi pia ni rahisi kuhongwa.Akiongeza tuu mpunga na kuwafanya wale majenerali waishi kama peponi,ujue Kabila kwisha habari yake.
Majenerali wengi ni watu wa Kabila toka yy yuko jeshini , na Gen Numbi na Gen Tango ni maswahiba haswa toka kitamboKwa kuwa jeshi ni la Kabila hawana namna ,lazima watakuwa na nidhamu kwa Kabila;
Hahahaha, Mkuu unatamani uone Kabila anafanywa kitu mbaya?Hili ni dili la kumlinda Kabila
Kama alivyowafanya wenzakeHahahaha, Mkuu unatamani uone Kabila anafanywa kitu mbaya?
Hahahaha, haitokaa itokee MkuuKama alivyowafanya wenzake
Hahahaha, kuwafanyiajeKama alivyowafanya wenzake
Vuta subiraHahahaha, haitokaa itokee Mkuu