Rais wa Croatia, Kolinda Grabar-Kitarović.

Rais wa Croatia, Kolinda Grabar-Kitarović.

PAGAN

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2014
Posts
13,871
Reaction score
23,488
BIG-12-comparisons-to-coco.jpg


BIG-14-hot-nonetheless.jpg
 
hilo ni vazi la ufukweni not a broblem....
kama yupo smart kichwani hakuna shida.
uraisi ni taasisi.

raisi wa kina lewa, rakitic, modric etc.


No, Lewandoski kwao Poland. Yaani angekuwa Croatian timu yao ingekuwa moto. Huyu Madame Presidaa ni shida.
 
Yeah, hata kama maisha magumu poa tu. Sio sisi, vyuma vimekaza na President wenyewe ana sura ngumu kama mkulima.
 
Mtoa mada hajathibitisha kama kweli huyu ni rais wa hiyo nchi, hata kapicha basi akiwa ofisini, bila hivyo ni ngumu kuamini anaweza kuwa hata changudoa huyu msipoangalia
 
Huyu wa beach kifua kimejaajaa lkn huyu wa trump yupo kawaida tu mkuu wazungu wanafanana, istoshe hapo trump amesimama na watu wengi tu, kip kinathibitisha huyo mama ni rais
 
Kwa miaka aliyonayo takriban 46 huyu raisi ana mwili mzuri
 
Mtoa mada hajathibitisha kama kweli huyu ni rais wa hiyo nchi, hata kapicha basi akiwa ofisini, bila hivyo ni ngumu kuamini anaweza kuwa hata changudoa huyu msipoangalia


Biashara at work. Kuna Wapumbavu wataamini huo upuuzi


Wakuu kuna kitu inaitwa Google, msiwe wabishi kama mishipa, au hamjui kutumia Internet?
 
b6f8bca81735b912c8233061ef154d77.jpg
Aisee! Ni kweli buana[emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
biashara gani? huyo ndio rais wa nchi ya croatia
Mkuu kuna binadamu wabishi ni balaaa.......mtu anatumia smartphone, hata afikirie kugoogle basi ili ubishi uendane na kujenga hoja........elimu yetu ni shida.
 
Back
Top Bottom