Rais wa chit-chat

Ha ha ha ha, dah
Hii kali, hadi ubodigadi unagombewa??

Kongosho umeshaharibu unaona sasa...........................we ngoja nikutafutie timingi ya kukurushia kiti kizito.........
Lakini mi nimeomba kugombea ubodigadi wa mke wa rais.........hata hapo pia ni shida?
 
...yaaani TANMO mgombea...halafu. Preta msimamizi...uchaguzi utakua sio wa "HURU na HAKI"
 
Last edited by a moderator:
dah,hizi chaguzi kila siku,ikifika wakati wa udiwani mnijulishe,nipiganie
 
naomba kuwa naprovide vitu vyenye ncha kali, haswa kwa watakaopinga matokeo! ni kawaida ya ngozi nyeusi kuwa na ubishi! muongozo tafadhali!

andaa sniper!
Matokeo yakitoka hakuna kuuliza.
Ni vilio na vicheko. atakaeuliza tupia ncha kali
 
dah,hizi chaguzi kila siku,ikifika wakati wa udiwani mnijulishe,nipiganie

Ushindwe wewe tu, siku izi mavyeo bweleleee, wengine wanagombea, wengine wanagombania, wengine wanapigania, tangaza tu nia mapema
 
Chagua venue wewe Catherine mimi nakuachia jukumu hilo na kuunda kamati ya sherehe. Note; hakuna michango yoyote inayohitajika. Quality weekend pal.

pa1 sana pal ila naomba nidelegate hizo tasks kwa baba shughuli Erickb52 na mama shughuli sweetlady. Hapa natengeneza appetite ya kujichana vyuku.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…