what what with the same feathers sijui what together.....kuna msemo wa hii lugha ya kuja kwa meli nimeusahau lugha ngumu hii nimeshindwa kudadavua na kuubandika huo msemo
Sipingani na hilo wazo lako, tusubiri application ya hizo mbinu.........ukizingatia operation mpya imetangazwa, tutasikia kubwa kuliko lile la mikutano hadi ''20.