Rais wa Algeria amtimua Waziri mkuu

Rais wa Algeria amtimua Waziri mkuu

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,622
Reaction score
8,427
_97399154_ecf18618-2cda-4c49-8b36-12b07439cc34.jpg
​

Rais Abdelaziz Bouteflika wa Algeria amemfukuza kazi waziri wake mkuu Abdelmadjid Tebboune, ambaye aliteuliwa katika nafasi hiyo miezi isiyozidi mitatu.

Hakuna sababu zilizotajwa za kuondolewa kwake kazini.

Lakini hatua hiyo imekuja siku kadhaa baada ya Rais kumtumia barua kali bwana Tebboune kutaka mabadiliko ya sera.

Tayari waziri mkuu mpya ametajwa kuwa ni Ahmed Ouyahia ambaye alikuwa mnadhimu mkuu wa Rais.

Chanzo: BBC Swahili
 
Bora hata wangesema amejiuzulu kuliko lugha iliyotumika ya kufukuzwa mimi naona kama amemdhalilisha kidogo
 
Back
Top Bottom