Ndg zangu nashauri tumuombe prof maghembe agombee rais mwaka 2015 kwani ni msomi na katika kipindi alichoo kaa serikalini amefanya mambo makubwa ndiyo maana wizara moja hadi nyingine kila mara nyingine bigup
hayo ni matusi twende kwenye hoja ya msingi sijasoma kutoka kwenu hoja ya kumkataa maghembe Bado nashikilia hoja yangu ya mwazo ijadiliwe na watu wapevu katika politic za tanzania bigup