Rais Vs Waziri Mkuu wa India, who's boss?

Cicero

JF-Expert Member
Jan 20, 2016
2,924
3,073
India kuna Rais ambaye ndiye mkuu wa nchi na anachaguliwa na joint sitting ya bunge la juu na bunge la chini plus mabunge ya nchi wanachama. Yeye anakuwa head of state (mkuu wa nchi) na amri jeshi mkuu, na lazima afuate ushauri anaopewa na waziri mkuu wake katika kuiongoza nchi (binding advice).

Waziri Mkuu wa India anachaguliwa na Rais lakini ni lazima awe ni mtu mwenye support kubwa katika Lok Sabha (bunge la chini) na ndiye kiongozi mkuu wa serikali, mwenyekiti wa baraza la mawaziri na mshauri mkuu wa Rais (ushauri ambao ni binding).

Sasa swali ikija kutokea Rais na bunge la chini (ambalo in effect ndio linalomchaua waziri mkuu) wana misimamo tofauti ya kisiasa inakuwaje?
Between these two, who's boss?
 
Raisi ndio boss sababu amechaguliwa na bunge la juu na chini, waziri kaajiriwa na raisi na wabunge wa chini. Namna iyo me naona, labda katiba lao liseme vinginevyo.
 
Back
Top Bottom