FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,067
Kwa akili yako unaamini mtu kama Putin hajui kuna windows 10? embu tumia tu hiyo akili yako vizuri usiwe mvivu!
Robert Mueller special council imekaa 2 yrs kuchunguza huo uzushi wenu maliberali, and nothing was found... Halafu leo wewe mmatumbi wa sitimbi huko unakaa vijiweni na kusema Russia waliichagulia US Rais... Non sense
Shirikisho la Urusi ni jina rasmi la taifa la Urusi kwa mujibu wa katiba ya Urusi.
Shirikisho la Urusi ni jina rasmi la taifa la Urusi kwa mujibu wa katiba ya Urusi.
Lilikufaje ama nani aliliua?
wengine hawataki kabisa kujisumbua kufikiri na kutafakari wao wanaruka tu kutoa maoni. Ni wa kuwahurumia tu maana hakuna walijualo ni ubishi tuKwa akili yako unaamini mtu kama Putin hajui kuna windows 10? embu tumia tu hiyo akili yako vizuri usiwe mvivu!
Alafu ukipata jibu jiulize je kwanini kaamua kutumia windowa XP na sio windows 10?
Hiyo ya Putin ni Windows XP jina tu.Kama unatumia mfumo mpya zaidi kuliko Windows XP katika PC yako, basi tambua kuwa upo Updated zaidi kuliko Ndugu, Vladimir Putin. Hahaha!
Russia Federation ndivyo ilivyo UN. Tutazidi kuitambua kama shirikisho.
KGB ilikuwa ya iliyojulikana km soviet union baada ya kusambaratika haipo tena Urusi iliyopo inaitwa FSB.Danganya toto hiyo...!!!
KGB ina hadaa watu hapa!
No matter chanzo cha taarifa ni kipi...
Sent from my iPhone using JamiiForums