thegeniustzda
JF-Expert Member
- Dec 14, 2017
- 211
- 359
Umenielewa tofauti.huyo kairuki ndio nani??ila kairuki ni wapare sio wachaga.afu mi sijamtaja mtu hapa sawa usinielewe vibayaKairuki ni wa wapi?lakini vipi nyie mnaipenda CCM
Umenielewa tofauti.huyo kairuki ndio nani??ila kairuki ni wapare sio wachaga.afu mi sijamtaja mtu hapa sawa usinielewe vibaya
Soma acha kulalamika usipende vya bure Elimu ndiyo msingi wa Maisha yakoShule inaitwa Darajani Secondary School, ipo Moshi vijijini, Marangu..
Jamani huu ni wizi kweli kweli tunalipia laki na hamsini halafu shule nzima wapo 1,000 piga hesabu kwa laki na hamsini mara 1000; sasa ni elimu bure au elimu pesa? Na hii ni shule ya kata na Mheshimiwa Raisi alisema kuwa elimu ni bure!
Mkuu wa hii shule afuatiliwe. Watu wa vijijini tunaliwa sana then wanatulazimisha usipolipa unaitiwa mgambo aje kukukamata.
Jamani hii ni halali? Sambaza imfikie mheshimiwa Rais..
MBATIA HATA MCHANGO WAKE SIONISoma acha kulalamika usipende vya bure Elimu ndiyo msingi wa Maisha yako
Acha ujinga dogo lipa pesa upige shule! Huko uliko hakuna uongozi hadi uanze kumlilia rais? Ninyi ndo mnamlewesha sifa jamaa na kumfanya ajione yeye ndo each & everything hapa bongo, hadi anaingilia majukumu ya mwenyekiti wa kitongoji na kujikuta akipeleka lori mtaroni. Achana na vya bure havina ubora.