Rais Uhuru Kinyata, akutana na Odinga Ikulu ya Nairobi

Queen V

JF-Expert Member
Jan 19, 2012
775
1,332
RAIS UHURU KENYATTA AKUTANA NA WAZIRI MKUU MSTAAFU RAILA ODINGA KATIKA IKULU YA NAIROBI

Tuesday, May 31, 2016 Maoni: 0

UH1.jpg

Rais wa Jahuri ya Kenya Mh. Uhuru Kenyatta akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu wa Kenya Mh Raila Odinga wakati alipomkaribisha Ikulu kwa Chakula cha Mchana na Mazungumzo katika Ikulu ya Nairobi kwa mwaliko wa Ikulu ambapo viongozi wa Chama cha CORD walialikwa kwa ajili ya maadhimisho ya sherehe za siku ya Mdaraka (Madaraka Day)inayotarajiwa kufanyika kesho mjini Nakuru nchini humo, Kulia ni Makamu wa Rais wa Kenya Mh. William Ruto na Kushoto ni Gavana Mosess Watangula.
UH21.jpg
Rais wa Jahuri ya Kenya Mh. Uhuru Kenyatta kulia akiongozana na Waziri Mkuu Mstaafu wa Kenya Mh Raila Odinga wakati Waziri Mkuu huyo mstaafu alipoalikwa katika Ikulu ya Nairobi kwa chakula cha mchana na maadhimisho ya Madaraka Day yanayotarajiwa kufanyika Kesho mjini Nakuru, Kushoto ni Gavana Mosess Watangula.
UH31.jpg
Rais wa Jahuri ya Kenya Mh. Uhuru Kenyatta akipozi kwa picha na Waziri Mkuu Mstaafu wa Kenya Mh Raila Odinga wakati Waziri Mkuu huyo mstaafu alipoalikwa katika Ikulu ya Nairobi kwa chakula cha mchana na maadhimisho ya Madaraka (Madaraka Day) yanayotarajiwa kufanyika Kesho mjini Nakuru, kulia ni Makamu wa Rais wa Kenya Mh. William Ruto na Kushoto ni Gavana MOsess Watangula.
 
AFRIKA HAITOKAA IBADILIKE KIMAENDELEO HADI PALE TUKIACHA 'SIASA'. Leaders only seek to be elected and re-elected.
 
Kuweka kumbu kumbu sawa..Kenya haina Makamu wa Rais ina Naibu Rais! Tafuta tofauti kati ya Deputy na Vice!
 
Back
Top Bottom